MGOMBEA UBUNGE CHALINZE AJERUHIWA KWA MAPANGA
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na...
View ArticleTORONGEY AENDELEA KUJINADI CHALINZE
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo.Baadhi ya wananchi wa...
View ArticleJAJI RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI,KUZUNGUMZIA MWENENDO WA...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake wa kuzungumzia mwenendo mzima wa Kampeni...
View ArticleIBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI...
Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya...
View ArticleTSN BOYS KUKABILI MWANANCHI MEDIA KOMBE LA NSSF KESHO: MROKI AIAHIDI DAU NONO
Kikosi cha TSN Boys TIMU ya soka ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inashuka dimba la Sigara, Chang’ombe, Dar es Salaam kuikabili Mwananchi katika Kombe la NSSF kwa Vyombo vya Habari 2014.Mechi...
View ArticleDK SHEIN ALIPOFUNGA KAMPENI ZA CCM CHALINZE NA KUMNADI RIDHWANI KIKWETE
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed Shein akimnadi mgombea wa Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika...
View ArticleTPA YATOA MSAADA WA MADAWATI 110 SHULE YA MSINGI MAHUMBIKA MKAONI LINDI
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela(kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya...
View ArticleSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA TANZANIA LAENDELEA VIZURI, WENGI...
Vijana waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la kusaka vipaji vya Kuigiza wakiingia katika eneo la Ukumbi wa Isamilo lodge tayari kwa kuanza kuonyesha Vipaji vyaoBaadhi ya vijana wakijaza fomu...
View ArticleJK AONGOZA WAPIGA KURA CHALINZE KUCHAGUA MBUNGE WAO LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati...
View ArticleNYUMBA HII INAUNYWA IPO ZIZI LA NG'OMBE IRINGA MJINI NI TSH MILIONI 14.5
Mwonekano wa nyumba kwa nyumaShimo la choo Mwonekano wa mbele Nyumba hii inauzwa kwa kiasi cha Tsh milioni 14.5 maelewano yapo ina vyumba vinne vya kisasa kikiwemo kimoja masta ,choo...
View ArticleTIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI BRAZIL
Wachezaji wa Tanzania wakishangilia ushindi wao na kutinga Fainali za michuano ya dunia kwa watoto wanaoishi mazingira magumu.Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania (pichani juu) imetinga...
View ArticleBRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika) akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha mtanzania yeyote kuweza kupimamacho...
View ArticleMATOKEO RASMI UCHAGUZI CHALINZE
MATOKEO RASMI JIMBO LA CHALINZE;-RIDHIWAN JAKAYA KIKWETE;- Hatimaye Ridhiwani Kikwete aibuka kidedea ubunge Chalinze kwa 86.61% akiwa amepigiwa kura na wakazi 20,828. matokeo yametangazwa sa 9 usiku wa...
View ArticleWIZARA YA FEDHA YAWEKA WAZI JINSI ITAKAVYOTEKELEZA MATOKEO MAKUBWA SASA 'BRN'
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, hivi karibuni. Semina hiyo...
View ArticleDAKIKA 90 ZA DUNIA. Mauaji kwenye kambi ya jeshi Fort Hood
Jenerali Mark Milley, Kamanda wa Fort Hood akizungumza na waandishi wa habari Wiki iliyopita, nchi ya Marekani ilikumbwa na mauaji mengine yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi huko Fort Hood,...
View ArticleMIAKA 42 YA ZANZIBAR BILA SHEIKH AMANI ABEID KARUME
LEO TAIFA la Tanzania linaadhimisha kifo cha Mwanamapinduzi ya Visiwa vya Zanzibar na rais wa Zanzibar ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Sheikh Aman Abeid Karume aliyeuwawa kwa...
View ArticleMCHUANO WA KUTAFUTA VIPAJI VYA UIGIZAJI MWANZA
Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo wakati wa Zoezi la kusaka vipaji vya uigizaji kuingia Hatua ya pili kwa...
View ArticleTANZANIA MABINGWA WA DUNIA MASHINDANO YA SOKA LA WATOTO WA MTAANI 2014
Mchezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania ya watoto wa Mtaani, Kelvin Sospeter a.k.a Nashi akishangilia ushindi wa timu yao dhidi ya Burundi. *****Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetwaa...
View Article