Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10758 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Twanga Pepeta kupamba utambulisho Miss Tabata Pasaka

Washiriki wa Miss Tabata 2014 wakiwa mazoezini Da’ West Tabata.******Na Mwandishi WetuBendi ya African Stars “Twanga Pepeta” itasindikiza uzinduzi wa Redds Miss Tabata itakayofanyika Jumapili ya Pasaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILI KITCHEN PARTY GALA YAFANA MJINI DODOMA, SASA KUELEKEA MWANZA

 Watoa huduma wa shirika linalo jishungulisha na masuala ya afya la PSI Tanzania wakiendesha zoezi la upimaji wa Saratani ya shingo ya kizazi katika jukwaa la FAMILIA KITCHEN PART GALA 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO MAALUM KUTOKA KWA RIDHIWANI KIKWETE

Baada ya safari ya miaka 34 ya kutembea duniani na mafanikio ambayo mungu amenipa , naomba kutumia kurasa huu kuwashukuru tena ninyi wazazi wangu,marafiki zangu, wananchi wenzangu wa Chalinze kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM SAME YAMSIMIKA KAIRUKI KUWA KAMANDA WAO

Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM  Sixtus Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa  Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.Katibu mkuu wa umoja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWA MAREHEMU...

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI WA MAONYESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO

 Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja  Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA BODI YA MIKOPO KATIKA MAONESHO YA MIAKA 50...

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali leo Aprili 16, 2014 ametembelea viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kujionea maonesho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika vuiwanja hivyo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDYDC 2014 WORLD MALARIA DAY SOCCER TOURNAMENT YAFANA MKOANI IRINGA

Mshambuliaji wa Shule ya Sekondari ya BaoBab ya Bagamoyo mkoani Pwani, Zuward Ally akiwatoka mabeki wa timu ya Upendo wakati wa Tamasha la Soka la kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MPANDA

 Kattibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa katika wilaya ya Mpanda mkoani Katavi ambapo nyumba 70 zimekamilika kati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU NA WASANII WENZAKE WAZINDUA GLOBAL TV ONLINE

Kutoka kushoto: Wasanii Dk. Cheni, Bi. Mwenda, Profesa Jay na Wema Sepetu wakishiriki kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa GlobaL TV Online jana.Wema Sepetu na Profesa Jay wakifunua vitambaa wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI GHAFLA

Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA WANAFUNZI KATIKA PANTONI, JIJINI DAR

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (fulana nyekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA MAENEO YA KATIKATI YA JIJI LA...

Key: 1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}. 2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}  3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NI NCHI YA AMANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gavana wa Mombasa County na Seneta watembelea "Live talk" ya VOA .

Kutoka kushoto Seneta wa County ya Monmbasa Hassan Omar , Mtangazaji wa VOA Abdushakur Aboud , Gavana wa Mombasa County Ali Joho na waziri wa Vijana , Jinsia na Michezo wa County hiyo Hazel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA KIKWETE AWAASA WALIMU NA WAZAZI KUSIMAMIA WATOTO VYEMA KATIKA ELIMU

Na Anna Nkinda- Maelezo, LindiMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wazazi na walimu kushirikiana kwa pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Salim kushuhudia Usiku wa Mwambao Asilia leo

KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ya Afrika (OAU, sasa Umoja wa Afrika - AU), Dk. Salim Ahmed Salim, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika onesho maalum la Usiku wa Mwambao asilia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Mwinyi atembelea banda la Mamlaka ya usafiri wa Anga katika Maadhinisho...

Rais Msaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akikabidhiwa nyaraka na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chach,zenye ujumbe wa shughuli zinazofanywa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAKABIDHIWA KOMBE LAO RASMI CHAMAZI, SIMBA IKIENDA SARE NA YANGA TAIFA

 Wachezaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miss Tabata kutambulishwa leo Da West

Washiriki wa Miss Tabata 2014 wakiwa mazoezini Da’ West Tabata. *********Na Mwandishi WetuWarembo watakaoshiriki kwenye shindano la kusaka mrembo wa Tabata 2014, watatambulishwa leo katika ukumbi wa Da...

View Article
Browsing all 10758 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>