ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM...
View ArticleWATOTO WA KITUO CHA SOS WAFYA USAFI KITUO CHA DALADALA UBUNGO
Watoto wanaolelewa katika kituo cha Watoto cha SOS Children’s Villagescha Jijini Dar es Salaam wakifanya usafi katika kituo cha Daladala Ubungo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wao wa kutoa elimu kwa...
View ArticleBONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APATA LESENI YA NGUMI YA KIMATAIFA
Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini T.P.B.O Yassin Abdalla 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi leseni ya ngumi pamoja na kitambulisho na nyaraka mbalimbali za bondia Ibrahimu Class 'King Class...
View ArticleRATIBA YA MAZISHI YA MAMA FIDES CHALE
Father Kidevu Blog inaungana na Familia ya Kazikupenda Chale ambaye ni mdau mkubwa wa Blog hii katika kipindi hiki kigumu cha msiba mzito wa kuondokewa na mama yake mzazi Mama Fides Chale kilicho tokea...
View ArticleNYUMBA 'FAMILY HOUSE' INAPANGISHWA
Nyumba ya kisasa kwaajili ya matumizi ya Familia inapangishwa kwa yeyote ambaye anauhitaji wa nyumba ya Kuishi na Familia. Nyumba ipo Maeneo ya Ukonga Mazizini jijini Dar es Salaam, pembembeni ya...
View ArticleNSSF YAENDELEA NA KAMBI ZA UPIMAJI AFYA KANDA YA ZIWA
Kaimu Meneja wa Mafao ya Matibabu Dk. Lucy Simbila akizungumza kabla hajamkaribisha Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga afungue Kambi ya Upimaji Afya.Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dk. Charles...
View ArticleMahojiano ya Dekula Kahanga "Vumbi" na Kwanza Production
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Dekula Kahanga "Vumbi" Vumbi ambaye anamiliki Dekula Band nchini Sweden. Amezungumzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa albamu yake mpya ya...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA ELIEWAHA KAJIRU MROKI
Ndugu Fredricky Kajiru Mroki wa Kipera-Kinyenze Morogoro, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake Eliewaha Kajiru (Pichani) kilichotokea alfajiri ya leo Nyumbani kwakwe Kipera. Mipango ya mazishi...
View ArticleMISS UBUNGO 2014
Baadhi ya warembo watakaochuana kwenye shindano la Miss Ubungo 2014, litakalofanyika Juni 13 mwaka huu katika Ukumbi wa Hoteli ya Land Mark, wakipiga picha ya pamoja mbele ya waandishi wa habari,...
View Article19 WACHUKUA NA KURUDISHA FOMU ZA KUSHIRIKI NICE & LOVELY MISS TANGA 2014
Gari aina ya Toyota Vitz atakalokabidhiwa mshindi wa shindano hilo la Nice & Lovely Miss Tanga 2014 Mratibu wa Mac D Promotions, waandaaji wa mashindano ya Nice & Lovely Miss Tanga 2014, Benson...
View ArticleMiss Tabata kupatikana kesho Da’ West Park
Na Mwandishi WetuWarembo 16 kesho watawania taji la Miss Tabata 2014 kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata.Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema kuwa...
View ArticleAZAMTV WAKABIDHI FEDHA KWA BODI YA LIGI MSIMU WA PILI
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Azam Media Rhys Torrington (kulia) akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga nakala ya uthibitisho wa malipo ya fedha kwa ajili ya...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA...
Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika maadhimisho ya Siku ya...
View ArticleNYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA...
Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo...
View ArticleMZEE SMALL AFARIKI DUNIA
Mzee Small afariki Dunia.Habari za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mwigizaji maarufu na mkongwe katika fani ya vichekesho nchini Tanzania, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small...
View ArticleISABELLA WARIOBA ALIVYOMEREMETA KATIKA USIKU WAKE MAALUM
Hakika ulikuwa ni Usiku Maalum kwaajili ya Isabella Moses Warioba, ambaye alikuwa na tafrija ya kuagana na familia yake ya Prof na Dr. MD Warioba, Ndugu, Jamaa na marafiki wote tayari kwa yeye kwenda...
View ArticleAMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014
Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi...
View ArticleNAPE APOKELEWA KISHUJAA MWANZA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokelewa na umati wa watu kwenye eneo la mkutano Nyamalango ambapo atahutubia wanachama wa CCM Tawi la SAUT pamoja na wakazi wa maeneo hayo , pamoja na...
View ArticleHARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO
"Mmetuona "ni kama ndio maneno yaliyokuwa vichwani mwao maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa.Gavana wa kwanza wa Tanzania Mzee Edwin Mtei na Mama Mtei pia walikuwa...
View ArticleHAPPY BIRTH DAY MUKE YA LAIGWANAN MKUU EDWARD LOWASSA
Juni 8 ya kila mwaka ni ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyae Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha na Laigwanan Mkuu. Father Kidevu Blog...
View Article