KINANA NA TIMU YAKE WATINGA MANYARA KIKAZI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika Kata ya Mangara wilaya ya Babati...
View ArticleWAZIRI DK. MUKANGARA AWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI,...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akiwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015 mjini Dodoma jana. Waziri...
View ArticleMTOTO SHIGELA ALIYEZALIWA NA VVU AAGA DUNIA JIJINI MWANZA
Marehemu Shigela ezni za uhai wake akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu.Mtoto Shigela amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 29/05/2014 nyumbani kwao mkoani Mwanza...
View ArticleWAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR...
Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014...
View ArticleSix Telecoms, Tata Communications wazindua mtandao wa VPN
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Six Telecoms Limited, Rashid Shamte akizungumza katika uzinduzi wa mtandao wa Virtual Private Network (VPN) kwa kushirikiana na kampuni maarufu ya mawasiliano duniani,...
View ArticleTANGAZO KWA WATEJA WA ZuRii BOUTIQUE.
Kwako mteja wetu wote wa ZuRii Boutique, Tarehe 30 May 2014 ndo itakuwa mwisho wetu pale tulipo kwa sasa Sinza Legho. ZuRii Boutique itahamia sehemu mpya na tutawajulisha tutakapo kuwa tayari. Asanteni...
View ArticleWAZIRI PROF MUHONGO AWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI 2014/2015
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akiwasilisha Bungeni Hotuba ya Bajeti ya Makadirio na Matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma
View ArticleMBULU NA HAI WATOANA JASHO KATIKA WAVU
Wachezi wa timu za mbulu na Hai za mchezo wa wavu ndani viwanja vya pentagon club nje kidogo ya jijini la arusha wakati wa mchuano mkali hatua ya robo fainali katika mashindano ya mchezo wa wavu...
View ArticleTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA ZAHANAT YA TABATA NBC
Ofisa Uhusiano Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ,Dorris Malulu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa kwa msaada wa kampuni hiyo katika Zahanati ya NBC Tabata, Dar es Salaam. Kisima...
View ArticleBALOZI WA UINGERTEZA NCHINI TANZANIA ALALAMIKIWA BUNGENI
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, amewasilisha leo malalamiko dhidi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania kwa kuratibu na kufanya vikao na Wabunge bila idhini ya ofisi ya Spika wa Bunge.
View ArticleMWANZA KUMEKUCHA-WASANII WAWASILI KWENYE KILI MUSIC TOUR
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Kili Music Tour litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mbeya Jumamosi huku...
View ArticleKili music tour yavunja rekodi Mwanza
Vanessa Mdee na Fid Q wakishirikiana kutoa burudani wakati wa show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WAASWA KUSHIRIKIANA NA TMF ILI KUPUNGUZA UTEGEMEZI WA...
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa mradi wa mafunzo ya bure kwa waandishi wa habari kwenye maeneo matano, sekta ya uchimbaji, unyanyasaji wa...
View ArticleKINANA KUHUTUBIA MERERANI LEO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Orkesumet ambapo aliwambia ahadi za Rais zitatekelezwa kama zilivyoahidiwa kwa wananchi wa Simanjiro.Katibu Mkuu pia alisisitiza...
View ArticleMAREHEMU NASRA MVUNGI KUAGWA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
Uwanja wa JAMHURI mkoani Morogoro utatumika kumuaga mtoto Nasra Mvungi aliyefariki jana alfajiri hospitali ya Muhimbili. Hayo yamesemwa na Ofisa ustawi wa jamii mkoani Morogoro, Oswin Ngungamtitu....
View ArticleTAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO MZEE WETU MOURICE...
MDAU WETU BEATRICE SINGANO AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA MZEE MOURICE NOEL SINGANO, MZEE WETU M.N. SINGANO ALIFARIKI TAREHE 31/05/2014. NCHINI INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI...
View ArticleMAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AZIKWA
Baadhi ya Wabunge wakiwa katika msiba wa mama mzazi wa Mbunge mwenzao Zizzto Kabwe (wapili kushoto aliyefuatana na baba yake Zuberi Kabwe) mjini Kigoma na Juu ni Kaburi alipo zikwa mama mzazi wa Zitto...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU NASRA WAWASILI MOROGORO KUZIKWA KISHUJAA
Jeneza lenye mwili wa marehemu Nasra Rashid likibebwa kuingiza katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro ukitokea Dar es Salaam ambako mtoto huyo alilazwa kwa...
View ArticleRC MOROGORO, MBUNGE ABOOD, NA WANANCHI WAMZIKA MTOTO NASRA
Hatimaye Mtoto Nasra Mvungi aliyefariki Juni mosi mwaka huu kufuatia kuaishi katika matesa makubwa kutoka kwa mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki na kuishi katika boksi bila huduma muhimu...
View Article