AJALI YA BODA BODA KABUKU
Mwendesha pikipiki na abiria (majina hayakutambulika kwani walikuwa hawawezi hata kuongea) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari dogo lenye...
View ArticleMBASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UBAKAJI
MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha (pichani wakiwa kwenye shughuli zao siku za nyuma) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka...
View ArticleOnyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo
Onyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo Tumepata taarifa kwamba kuna baadhi ya watu wasiowaaminifu wanaojifanya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na kutumia mwanya huo kuwadanganya wananchi...
View ArticleGALLAWA MGENI RASMI NICE & LOVELY MISS TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa atakuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka mrembo wa mkoa huo, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 siku ya jumamosi tarehe 21/06/2014,...
View ArticleMO MUSIC KUTUMBUIZA REDD'S MISS CHANG'OMBE
Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Chang'ombe wakiwa katika pozi, shindano hilo litafanyika Juni 27 katika ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.******* Na Mwandishi WetuMKALI wa kibao cha...
View ArticleWASHINDI WA WINDA SAFARI YA BRAZIL NA SERENGETI WAREJEA
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akiwaongoza washindi wa tiketi ya Winda SAFARI YA Brazil na Serengeti mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Mwalimu Nyerere....
View ArticleWashindi Promosheni Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti wazawadiwa
Washindi wa bahatinasibu ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,Issa Rashid (wapili kushoto) na Michael Msumba (wapili kulia) wakipokea zawazi zao kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Mult Choice ( Dstv ) Barbara...
View ArticleTBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa...
View ArticleKIKUNDI CHA PHENOMENAL CHA WATEMBELEA YATIMA JIJINI ARUSHA
WANAKIKUNDI wa Phenomenal Women Group (PWG) Jijini Arusha Mara wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili katika kituo cha Watoto Wanaoishi katika mazingira magumu cha Sunrise Maji ya Chai nje...
View ArticleMBUNGE ANAPO KWEA BODABODA KUWAHI NDEGE BAADA YA KUKWAMA KATIKA FOLENI
Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe...
View ArticleNGANYAGWA KUTUMBUIZA TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU HUU
Mwanamuziki Mkongwe wa Rege nchini, Innocent Nganyagwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na show yake kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo ndani ya ukumbi wa Mambo Club...
View ArticleLAKE GAS YAZINDUA MITUNGI YA KISASA YA GESI ZA MAJUMBANI
Mmililiki wa Makampuni ya Lake Oil Ally Edha Awadh, wazalishaji wa Gesi ya Lage Gas akizungumza wakati wa uzinduzi huo. Mmililiki wa Makampuni ya Lake Oil Ally Edha Awadh, wazalishaji wa Gesi ya Lage...
View ArticleNICE & LOVELY MISS TANGA 2014 WAFANYA USAFI OFISI YA MKUU WA MKOA TANGA
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijadiliana namna kuanza zoezi la kufanya usafi katika maeneo yayoizunguka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Shindano hilo litafanyika jumamosi...
View ArticleWOSIA WA MAREHEMU EDWARD KAHURANANGA.
Mwandishi na mtangazaji wa habari wa siku nyingi, Bwana Edward Kahurananga, amefariki dunia hapo juzi tarehe 17/6/2014 baada ya kuugua na kulazwa kwa muda mfupi.Marehemu Edward Kahurananga alizaliwa...
View ArticleMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI...
Afisa Utwala Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Catherine Monarya akiwaonyesha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mnazi Mmoja ya jijini Dar es Salaam redio ya...
View ArticleLULU NA JOTI WAFUNGA NDOA KIMYA KIMYA
Hatimaye Msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu afunga Ndoa ya Kimya Kimya na Msanii wa Vichekesho Lucas Mhavile maarufu kama JOTI. Ndoa hiyo ya Kimya imefungwa siku chache zilizopita katika fukwe...
View ArticleRais Kikwete akusudia kushika chaki tena
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika...
View ArticleSTAMICO YAAHIDI NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI
Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakiwahudumia wageni waliotembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es...
View ArticleWATU 6 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA...
Watu zaidi ya 6 wamepoteza maisha papo hapo na wengine 12 kujeruhiwa vibaya kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya...
View Article