PSPF NA TPB WAZINDUA MIKOPO KWA WASTAAFU
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (wapili kushoto) akiwa ameshikana mikono na Afusa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa...
View ArticleDKT BILAL AZINDUA MTAMBO WA MAJI TAKA WA KIWANDA CHA SERENGETI CHA MWANZA LEO
Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akifungua kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.Makamu wa Rais...
View ArticleWAZIRI MEMBE AZINDUA FILAMU MPYA YA 'I LOVE MWANZA' JIJINI MWANZA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, kukata utepe kuzindua filamu mpya...
View ArticleCUF WAANZA MKUTANO WAO MKUU NA UCHAGUZI DAR ES SALAAM LEO
Chama cha wananchi CUF, leo kiameanza mkutano wake Mkuu wa siku tano katika Ukumbi wa Blue Pearl uliopo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine Chama hicho kitafanya Uchaguzi...
View ArticleKinondoni Kujenga Daraja litakalounganisha Mabwepande na Kitongoji cha...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (wa pili kushoto),Diwani wa Kata ya Mabwepande Clement Boko (kushoto) Naibu Meya Songoro Mnyonge (wa pili kulia) na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia)...
View ArticleKampeni ya Diwani Bonnah Kaluwa wa Kipawa ya kuchangia damu yafikia kilele
Meya wa Ilala, Jerry Silaa akifungua rasmi tamasha la kuchangia damu katika viwanja vya Stakishari, Majumbasita, Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo ya siku 10 iliratibiwa na Diwani wa Kipawa Bonnah Kaluwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleAJALI YA LORI KINYEREZI
Lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T142BJM na tela lenye namba za usajili T111ALD likiwa limepinduka baada ya kuvunja daraja la muda lililopo barabara ya Kinyerezi Dar es Salaam...
View ArticlePINDA AHUDHURIA MKUTANO WA BENKI YA DUNIA
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA RAIS WA CHINA
Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao(hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini...
View ArticleREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto...
View ArticleTBL KUWAJENGEA KISIMA CHA MAJI CHA SH MIL. 29 WANANCHI WA SARANGA, DAR
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu akimkabidhi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King'ongo, Benetris Mapesi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 29 za msaada wa ujenzi...
View ArticleDC WA NEWALA MAGALA AFUNGUA SEMINA YA WAJUMBE WA TANECU
Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magala akihutubia katika ufunguzi wa semina ya wanachama wa Chama cha Ucshirika cha Tandahimba na Newala (TANECU) leo. Baadhi ya Wajumbe wa Chama...
View ArticleTBL FAMILY DAY NA MNUSO WAO BABKUBWA
Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach,...
View ArticleMAMBO YA UKWELI NA UHAKIKA SASA YAPO MLANGONI KWAKO DAR ES SALAAM
Bidhaa hizi ni Original (asilia ) kabisa na yeyeto mwenye kuzihitaji Piga simu +255 715 353465
View ArticleMISS SINZA 2014 KUUMANA VIKALI KESHO
MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza 2014’ katika shindano litakalofamyika kesho Ijumaa kwenye Ukumbi wa Meeda Night Club uliopo Sinza jijini Dar es Salaam...
View ArticleNHIF YATETA NA WAHARIRI MJINI BAGAMOYO
Kamimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF Khamis Mdee akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kwenye hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo asubuhi hii wakati wa seina...
View ArticleEVANS AVEVA AMALIZA KAMPENI ZA URAIS SIMBA KWA KISHINDO
Mgombea wa nafasi ya urais Evans Aveva, akiwa na Mlinzi wake 'Board Guard' (nyuma) akijinadi kwa wanachama, wakati wa mkutano wake wa kampeni za mwisho na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mkuu wa...
View Article