PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA JIJINI DAR LEO
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya baadhi ya Mawaziri waliohudhuria mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi ulio wahusisha mawaziri wa mazingira na mawaziri wa mambo...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA NHC KONGWA DODOMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...
View ArticleSALLY TALIKE CHALAMILA THANKS GIVING NIGHT
Biharusi mtarajiwa Sally Talike Chalamila akiwa katika pozi la picha wakati wa tafija maalum ya kutoa shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki kabla ya kufunga ndoa wiki ijayo jijini Mwamza. Tafrija hiyo...
View ArticleTBL YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA FYFES WHISKY JIJINI ARUSHA
Meneja Masoko wa TBL Tanzania Bw.Joseph Chebehe akizindua kinywaji kipya cha FYFES WHISKY katika hotel ya Mt.Meru jijini ArushaMeneja wa Brand ya Tanzania Distilleries Limited kampuni tanzu ya Tanzania...
View ArticleAFISA VODACOM AWANIA UONGOZI CHADEMA ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi Maryam Ahmed Omar akimkabidhi fomu Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla...
View ArticleYANGA SC YAUNDA KAMATI NDOGO NNE KUSAIDIA UTAWALA BORA KLABUNI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMwanasheria Sam Mapande, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya YANGA –(Utawala Bora) anapenda kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari kwa wana YANGA,ameunda Kamati ndogo chini ya...
View ArticleMAN U YALAZIMISHWA SARE NA BURNLEY
Kiungo mpya wa tumu Manchester United ya Uingereza MuargentinaAngeldiMaria(juu) akiwania mpira dhidi kiungo wa timu ya Burnley, DeanMarneywakati wa mechiLigi ya Uingerezailiyopigwa leo katika uwanja...
View ArticleSHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZENI KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA!
Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo,bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna...
View ArticleUTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na...
View ArticleLIVERPOOL YAIUWA TOTTENHAM 3-0
BRENDAN Rodgers jana alisherehekea kuiongoza Liverpool katika mechi ya 100 kwa ushindi mwingine wa mabao 3-0 dhidi ya Tottenham kwenye uwanja wa White Hart Lane.Mario Balotelli alipoteza nafasi...
View ArticleYANGA ACHENI OKWI AONDOKE: CANAVARO
Na Father Kidevu BlogNAHODHA wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema haoni sababu ya viongozi na mashabiki wa timu hiyo kuhuzunika baada ya kuondoka kwa Emmanuel Okwi,kwani timu hiyo inawachezaji...
View ArticlePROF J, SIR NATURE NA WENGINE WATOA WIMBO MAALUM WA PONGEZI KWA JWTZ KWA...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa kwenye maonyesho Katika Uwanja wa Taifa.Picha na Maktaba.Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa mazoezini.******** Na Josephat...
View ArticleTAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiimba kwa hisia jukwaani. Mwanadada Feza Kessy akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya...
View ArticlePHIRI ATAMBA KUKAMILISHA KIKOSI CHA UBINGWA BAADA YA USAJILI WA OKWI
Na Father Kidevu BlogKOCHA Mkuu wa Simba Mzambia Patrick Phiri amesema kwa sasa kikosi chake kimekamilika na kipo tayari kwa mechi za Ligi Kuu.Phiri ambaye aliiongoza Simba kupata ushindi wa mabao 5-0...
View ArticleMANCHESTA UNITED VIDUME WAMNYAKUA FALCAO
Manchester United wameshinda vita ya kumsajili nyota wa Monaco, Radamel Falcao.Falcao ameanguka wino leo ikiwa ni siku ya mwisho ya kufunga pazia la usajili kwa Ligi Kuu ya Uingereza kukipiga na...
View ArticleTANZANIA YAANZA KUTOA ELIMU JUU YA UGONJWA WA EBOLA
Kufuatia hofu ya ugonjwa hatari wa Ebola kuweza kupenya nchini Tanzania na kuleta madhara kwa wananchi wake, serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeanza kutoa elimu ya dalili...
View ArticleElihuruma Ngowi joins Serengeti Breweries Ltd
Mr. Elihuruma Ngowi has joined Serengeti Breweries Ltd. as Brand Manager with a profound experience in Customer Care, Marketing and Sales after having spent over eight (8) years at Vodacom Tanzania...
View Article