Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza katika semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB ikiwa ni utangulizi wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa utakaofanyika kesho (Mei 10) jijini Arusha.
Wanahisa wa Benki ya CRDB wakifatilia mada mbalimbali katika semina yao ya siku moja kabla ya mkutano mkuu katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji na Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama akitoa mada katika semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ambaye pia ni mjumbe wa bodi akisalimiana na Makamu mwenyekiti wa mkutano huo
Taswira katika mkutano huo wa wanahisa wa CRDB
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei ,Mwenyekiti wa bodi ya Benki ya CRDB Martin Mmari,Mwenyekiti wa mkutano Damian Ruhinda wakiwa kwenye semina ya siku moja ya Benki hiyo jijini Arusha
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei ,akisalimiana na wanahisa katika semina (Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)