DC NEWALA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TIMU YA PACHOTO SHOOTING STARS
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, Christopher Magala akizungumza na wachezaji wa timu ya Pachoto Shooting Stars ambao ndio mabingwa wa ligi ya Mkoa wa Mtwara 2014. mazungumzo hayo yalifanyika...
View ArticleWAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA YA KUELIMISHA UTUNZAJI WA...
Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani...
View ArticleWIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati...
View ArticleASIA IDAROUS ATIKISA DUNIA NA VAZI LA TAIFA
Na Father Kidevu BlogMBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa ajili ya...
View ArticleEU KUISAIDIA TANZANIA MSAADA WA SHILINGI BILIONI 134
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacious Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu kata ya Butu Wilayani Igunga Bw Christopher Makoye wakati alipokagua ujenzi...
View ArticleSkylight Band ni moto wa kuotea mbali
Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo...
View ArticleSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA...
Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Kusini wakiwa wamejitokeza katika usaili wa Kushiriki shindano la Tanzania Movie Talent katika Ukumbi wa Safari lounge uliopo Eneo la Maduka Makubwa, Mtwara Mjini...
View ArticleMIYEYUSHO VS MOHAMED MATUMLA WAPIMA UZITO KUPIGANA MAY 10 JUMAMOSI P.T.A...
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Mohamed Matumla wakitunishiana msuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba siku ya jumamosi ya may...
View ArticleWANAHISA WA CRDB WAFANYA SEMINA JIJINI ARUSHA KUELEKEA MKUTANO MKUU
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza katika semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB ikiwa ni utangulizi wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa utakaofanyika kesho (Mei 10) jijini...
View ArticleBASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MKOANI PWANI LEO
Basi la Kampuni ya DAR EXPRESS lenye namba za usajili T 580CFP linalodaiwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Jiji la Nairobi nchini Kenya limepunduka hii leo asubuhi katika eneo la Wami...
View ArticleSIMBA 11 WASHINDWA KUMLA NYATI DUME SERENGETI TANZANIA
Kundi la Simba likielekea katika mawindo yake baada ya kuona kundio la Nyati. Tukio hili lilijiri hivi karibuni katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania. Simba wakianza kujipanga kwaajili ya...
View ArticleBENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE-ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa...
View ArticleChibuku wazindua kinywaji kipya
Na Mwandishi WetuKAMPUNI ya Dar Brew maarufu zaidi kama Chibuku, imezindua rasmi bia mpya ya asili ijulikanayo kama ‘Chibuku Super’, ambayo imewekwa katika chupa maalumu ambayo mteja anaweza kuondoka...
View ArticleDAR YAZIZIMA KUFUATIA KIFO CHA BALOZI FLOSSIE GOMILE CHIDYAONGA
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa...
View ArticleKINANA WILAYANI UYUI
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahtubia wakazi wa Loya wilayani Uyui,Katibu Mkuu aliipongeza sana halmashauri ya wilaya kwa kujenga shule za sekondari 18 za kata. Mwenyekiti wa...
View ArticleANGAMIZA MAZALIA YA MBU WAAMBUKIZAO UGONJWA HATARI WA DEBGUE SASA
Mkoa wa Dar es salaam upo kwenye kampeni ya kupambana na Homa ya Dengue na ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu ambaye hupatika zaidi muda ya mchana. Mtu...
View ArticleKINANA AKAGUA MIRADI YA UJENZI WILAYA YA UYUI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua nyumba za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui ,Halmashauri ya wilaya ya Uyui imejenga nyumba nane kwa ajili ya watumishi wake. Katibu Mkuu wa...
View Article