Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM MBEYA NDG.EMANUEL MBUZA AFARIKI DUNIA

$
0
0
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la HABARILEO, Bwana Osca Mbuza anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Emanuel Mbuza aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Wilaya ya Mbeya Mjini kilichotokea usiku wa kuamkia Julai 9 mwaka huu katika Hospitali Teule ya Tumbi Kibaha

Mipango ya mazishi inafanyika Tabata Mawenzi Jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Ndugu Oscar Mbuza. Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe sote tuko njia moja kaka tunakuja.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>