FATUMA MATULANGA WA TBC ALAMBA NONDO YAKE UANDISHI WA HABARI ZA BIASHARA...
Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika uandishi wa Habari za Biashara Kimataifa (Global Business...
View ArticlePSPF WAZIDI KUTOA HUDUMA SABASABA
Afisa Mwandamizi wa Mfumo wa Taarifa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mariam I.Saleh, (Kushoto), akiwaeleza maafisa hawa wa polisi, kazi na huduma mbalimbalin zitolewazo na Mfuko huo, walipotembelea...
View ArticleAJALI YA DALADALA TABATA MATUMBI
Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata...
View ArticleMahojiano ya Kwanza Production na Diamond Platnumz baada ya tuzo za BET
Diamond Platnumz na DMK kwenye utoaji tuzo za BET Los Angeles Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook pageKaribu katika mahojiano ya Kwanza Production na Damond Platnumz. Msanii mwenye mafanikio...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA LEO
Rais Jakaya Kikwete, akipatiwa maelezo na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonhyesho ya 38 ya biashara ya...
View ArticleKabaka atembelea sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AFANYA MAMBO MAKUBWA JIMBO LA CHALINZE
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya vitanda Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za...
View ArticleWAZIRI KABAKA ATEMBELEA BANDA LA NSSF MAONYESHO YA SABASABA
Mhe. Gaudentia Kabaka, Waziri wa Kazi na Ajira akipata ufafanuzi kuhusu mpango wa uchangiaji wa Wakulima na wachimbaji wadogo wa madini kutoka kwa Meneja Kiongozi Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs...
View ArticleZIARA YA MAGUFULI MKOANI MARA
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIKAGUA UJENZI WA MAKARAVATI YA DUARA (PIPE CULVERTS) KATIKA ENEO LA MKANDARASI WAZIRI WA UJENZIDKT. JOHN MAGUFULI AKISHUKA KUANZA UKAGUZI WA DARAJA LA KYARANO...
View ArticleJERRY SILAA AIFAGILIA METL GROUP KWA KUKUZA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA WAZAWA
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati) akipata maelezo ya sabuni mpya ya MO BEAUTY kutoka kwa Msaidizi wa Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Kelvin Msangi (kushoto) mara baada ya...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA...
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kinondoni,Joseph Nicholous 9kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Dk....
View ArticleMAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKATI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA KIVUKO KIPYA CHA MV MARA KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MAENEO YA IRAMBA BUNDA NA MAJITA MUSOMA VIJIJINI. KUTOKA...
View ArticleCATHERINE MAGIGE AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM) mkoa wa Arusha Catherine Magige akiwajulia hali baadhi ya majeruhi nane wa mlipuko wa bomu uliotokea usiku wa kuamkia jana katika mgahawa wa Vama Traditinal Indian...
View ArticleKATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM MBEYA NDG.EMANUEL MBUZA AFARIKI DUNIA
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la HABARILEO, Bwana Osca Mbuza anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Emanuel Mbuza aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Wilaya ya Mbeya Mjini kilichotokea usiku...
View ArticleMBUNGE MAGIGE AHAIDI KUWAINUA KINAMAMA KIUCHUMI KUPITIA CATHERINE FOUNDATION
Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha aliyevalia ushungi mweupe katikati Catherine Magige,akiwa na kikundi cha akinamamalishe baada ya...
View ArticleVIONGOZI NIMR NA END FUND WASHUHUDIA UPASUAJI WA MACHO SIHA-KILIMANJARO
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akiwa na Mratibu wa Taifa wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele kutoka Wizara ya Afrya na Ustawi wa Jamii Upendo...
View ArticleDIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE...
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishiriki kubeba nguzo Vijana wakishirikiana na mbunge wao kubeba nguzo za umeme jitihada za kupeleka umeme Lupingu zikionekana Mbunge wa jimbo la...
View Article