$ 0 0 Hivi ndivyo mabasi ya UDA yanavyoonekana sasa baada ya kupigiwa kele za muda mrefu kuchora mistari ya rangi kuonesha njia wanazopita na sio kujiamulia tu wenyewe wanavyojisikia.