Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10606

BASI LA MORO BEST LAUA 17 DODOMA LEO

$
0
0

Watu zaidi ya 17 wamepoteza maisha leo katika eneo la Panda Mbili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma  baada ya gari walilokuwa wakisafiria mali ya Kampuni ya Morobest lenye namba za Usajili T258 AHV lililokuwa likitokea Mpwapwa Mkoani Dodoma kwenda Jijini Dar es Salaam.

Chanzo cha ajali hiyo ni lori la mizigo lililokuwa likilipita gari lingine  na kugongana uso kwa uso na basi hilo na kusababisha vifo hivyo.

 Photo: Dodoma Yetu Blog.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10606

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>