VIONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WATINGA MAHAKAMANI, DPP AWAONDOLEA...
Washtakiwa wakiwa katika gari la polisi Washtakiwa wakisubiri kuingia mahakamani.****** Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba...
View ArticlePINDA AONGOZA MAZISHI YA DK KAPOLI LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk, Irenius Kapoli, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Malamba Mawili...
View ArticleWAISLAMU WATAKIWA KUSHIKAMANA NA WAUMINI WA DINI NYINGINE KATIKA...
Waumini wa dini ya kiislamu wakihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa kwenye ibada ya swala ya Iddy el Fitry kwenye uwanja wa sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha. Sheikh wa mkoa wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AONGOZA WATANZANIA KATIKA SWALA YA EID EL FTRI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali (wapili kulia) akishiriki katika swala ya Idd El Fitri iliyoswaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam jana. Kulia ni Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh...
View ArticleUDA NA ALAMA ZA NJIA WAPITAZO
Hivi ndivyo mabasi ya UDA yanavyoonekana sasa baada ya kupigiwa kele za muda mrefu kuchora mistari ya rangi kuonesha njia wanazopita na sio kujiamulia tu wenyewe wanavyojisikia.
View ArticleBASI LA MORO BEST LAUA 17 DODOMA LEO
Watu zaidi ya 17 wamepoteza maisha leo katika eneo la Panda Mbili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma baada ya gari walilokuwa wakisafiria mali ya Kampuni ya Morobest lenye namba za Usajili T258 AHV...
View ArticleALI KIBA ACHIA MBILI KALI
Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa's biggest stars and his name is steadily becoming a...
View ArticleMAZINGIRA WAZINDUA TOVUTI YA MABADUILIKO YA TABIA NCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Dk.Binilith Mahenge akizindua rasmi tovuti ya mabadiliko ya tabianchi itakayotumika kutoa taarifa mbalimbali za utunzaji wa Mazingira.Kushoto kwa...
View ArticleKANSIIME ATUA DAR NA KUAHIDI MAKUBWA SIKU YA SHOW.
Nyota wa Vichekesho ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Anne Kansiime kutoka Nchini Uganda amewasili nchini jioni hii tayari kwa onesho lake litakalofanyika Agosti 2 mwaka huu katika ukumbi wa Golden...
View ArticleMh. Ndugulile akabidhi madawati 650 kwa Shule 12 Tarafa ya Mbagala
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, akiwahutubia wazazi na wanafunzi wanaotoka katika shule 12 za sekondari katika tarafa ya Mbagala kabla ya kuzikabidhi shule hizo jumla ya madawati...
View ArticleUKAWA WAKUTANA KUJIBU HOJA ZA VIONGOZI WA DINI
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito...
View ArticleNAIBU WAZIRI MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maerlezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja...
View ArticleKumbukumbu ya Miaka Miwili ya Mzee Joseph Mturi Mahemba (1955-2012)
Mpendwa Baba yetu, Joseph Mturi MahembaHatimaye siku, Miezi imepita hadi hii leo ambapo imetimia Miaka miwili (2) tangu ulipotutoka ghafla usiku ule wa siku ya jumatano ya tarehe moja ya Mwezi Agosti,...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA NEWALA KATIKA MAONESHO YA KILIMO NANE...
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika banda la Hamlashauri ya wilaya ya Newala katika maonesho ya Kilimo Nane Nane yanayofanyika kitaifa Mkoani Lindi mwaka huu. Dk Shein akipata maelezo...
View ArticleMaonesho ya Nane Nane yafunguliwa rasmi leo mkoani Lindi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa mwaka huu katika viwanja vya Ngongo Mkoani...
View ArticlePASS NDANI YA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA LINDI
Kikosi kazi cha PASS kikiwa kamili kusubiri wananchi na wadau mbalimbali wa Kilimo kutembelea banda lao lililopo katiuika viwanja vya Maonesho ya Wakulima yanayoendelea Kitaifa katika viwanja vya...
View Article