Naibu Waziri –Elimu Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI,Kassim Majaliwa (katikati) akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka 2015.
Hivyo wazazi na wanafunzi wametakiwa kufika katika shule husika au katika Ofisi za Kata kuangalia majina ya wanafunzi hao na shule walizo chaguliwa. Pichani ni Baadhi uya wanafunzi na wazazi wakiangalia majina hayo katika ofisi ya Mtendaji Kata ya Makurumla jijini Dar es Salaam jana.