WAZIRI MAKALAAWATAKA WANANCHI KUWAFICHUA WEZI WA MAJI
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makala akiongea na vyombo vya habaria katika ziara yake ya kikazi jijini hapa kwa lengo la kutembelea miradi ya maji iliyokuwa na changamoto kubwa ya upotevu wa maji...
View ArticleMARCIO MAXIMO ATUPIWA VIRAGO YANGA NI BAADA YA KICHAPO CHA 2-0 KUTOKA SIMBA
YANGA SC imeirejea historia yake ya kuwatimia makocha wake muda mfupi tu baada ya kula kichapo kutoka kwa watani zao Simba ambapo tayari uongozi wa Yanga umelivunja benchi la ufundi la timu hiyo...
View ArticleFURAHA YA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA JIJINI DAR
Vijana wakazi wa Kata ya Mwananyamala, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakibandua picha za wagombea baada ya kumalizika kwa uchaguzi kama walivyokutwa katika eneo la Msisiri ambapo mgombea wa...
View ArticleNAPE NAUYE AZUNGUMZIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA NCHINI AUNGA MKONO...
Katibu wa NEC ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar es Salaam jana juu ya uchaguzi wa Serikali za mtaa uliofanyika...
View ArticleWAKAGUZI WA MIGODI WAPIGWA DARASA
Baadhi ya Wakaguzi wa Madini kutoka mikoa mbalimbali nchini, wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (Kamishna Msaidizi wa Madini -Ukaguzi wa Migodi, Ally Samaje hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAFARIJI FAMILIA YA MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA...
Mdogo wa Mwisho wa akina Mwaibale Ambwene akitoa salam za Mwisho kwa Marehemu mama yake Dada Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana...
View ArticleMarehemu Shem Ibrahim Kalenga azikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu,jijini Dar
Jeneza lenye Mwili wa aliewahi kuwa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Marehemu Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam tayari kwa safari yake ya mwisho.Marehemu...
View ArticleNHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo...
View ArticleWEREMA AJIUZULU NAFASI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu wadhifa wake kuanzia hii leo.Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu iliyotolewa jana na Mkurugenzi wake, Salva Rweyemamu kwa...
View ArticleMAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YANAANZA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu...
View ArticleWAWAKILISHI WA MABARAZA YA WAZEE WA KIMILA WAKIMASAI WAKUTANA NA KINANA
Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai...
View ArticleMAMA TWITIKEGE MLAGHA AZIKWA KIJIJINI KWAKE KIKUMBE, RUNGWE MKOANI MBEYA LEO
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wakeMwili wa Marehemu Twitikege Mlagha Mafumu ukiifadhiwa katika nyumba yake ya Milele katika kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya leo Ndugu wa...
View ArticleMNENGUAJI AISHA MADINDA AFARIKI GHAFLA
Aisha Madinda enzi za uhai wakeTASNIA ya sanaa imezidi kupata majozi baada ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za African Stars 'Twanga Pepeta' na Extra Bongo, Aisha Mohammed Mbegu 'Aisha Madinda'...
View ArticleMRATIBU MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AKUTANA NA RC ARUSHA
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni,...
View ArticleWALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2015 HADHARANI
Naibu Waziri –Elimu Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI,Kassim Majaliwa (katikati) akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka 2015.Majina ya...
View ArticleSiwezi kujiuzulu kwa fedha ya Tegeta Escrow - Prof. Tibaijuka
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi,Profesa Anna Tibaijuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW. Akizungumza na Waandishi na Habari mapema leo jijini...
View ArticleWANAHABARI WATEMBELEA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA IDETE MKOANI...
Wafungwa wa Gereza Idete wakilima shamba kwa kutumia trekta kama inavyoonekana katika picha. Wafungwa hao wamepatiwa ujuzi wa kulima na trekta wakiwa gerezani ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu...
View ArticleKIKWETE ATUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA WA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya uzamivu ya Heshima (PHD Honoris Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho...
View Article