Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma hotuba yake ya kuahirisha mkutano wa Bunge mjini Dodoma leo.
Mbunge waManyoni Mashariki, Kapteni Mstaafu John Chiligati, akichangia hoja
Mbunge waBariadi Mashariki, John Cheyo, akichangioa taarifa ya kamati teule.
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Sabrina Sungura aichangia hoja
Mbunge waGando, Khalifa Suleiman akichangia taarifa.
Wabunge wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya mkutano wa Bunge kuvunjwa
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Mwijage, akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda(kulia) baada ya Bunge kuahirishwa jana. Katikati ni Mbunge waViti maalum ,Diana Chilolo.