Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na waomboilezaji wengine  katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongo kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>