Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

BUNGENI MJINI DODOMA HII LEO

$
0
0
 Mbunge ambaye tayari ameshatangaza nia yake ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Mbunge wa Nzenga, Dk Hamisi Kingwangala akiwa Bungeni mjini Dodoma hii leo. Akiuliza Swali hii leo kwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira kuwa atamsaidiaje kunyanyua bei ya zao la pamba.
Manaibu Waziri wakijadiliana jambo na Mbunge.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Goodluck Ole Medeye akiperuzi gazeti tando (blog) kupitia tablet yake akiwa Bungeni Mjini Dodoma. Upatikanaji wa habari na taarifa siku hizi umekuwa rahisi.
 Martha Mlata Mbunge wa Viti Maalum akiwa Bungeni
 Wabunge wakiendelea na shughuli zao Bungeni
 Edward Lowassa, Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani mwenye mafanikio makubwa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>