BULEMBO AGEUKWA NA WAJUMBE WAKE SAKATA LA KWENDA KWA LOWASSA.
Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Taifa na Mbunge wa Korogwe, Steven Ngonyani 'Prof .Maji Marefu' akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma hii leo juu ya tuhuma za yeye kutajwa na mmoja wa wajumbe wa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA MGODI WA NORTH MARA WAPEWA TUZO ZA UMAHIRI 2014, KWA UMAKINI...
Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akionyesha wafanyakazi wenzake wa mgodi huo, tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, (Excellence Awards 2014), waliyonyakua kwa kuwa mgodi wenye kuzingatia...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAFARIJI WAKAZI WA BUGURUNI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kazi ya kuondoa maji ya mafuriko kutoka katika nyumba za watu katika eneo la Buruguruni Mnyamani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo wakati Rais na Mkewe...
View ArticleWIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA...
Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa...
View ArticleWADAU WA BARABARA WAKUTANA KUTATHMINI UJENZI WA UBIA WA BARABARA YA DAR ES...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale akizungumza na Wataalamu washauri mbalimbali wa Sekta ya barabara nchini (hawapo pichani) kuhusu upembuzi yakinifu wa mradi wa...
View ArticleMEYA MANISPAA KINONDONI ATEMBELEA MABONDENI, AWATAKA WATU KUHAMA KUOKOA...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (mbele) akikagua mto Ng'ombe uliopo eneo la Mwananyamala Kisiwani, wakati wa ziara hiyo Nyuma yake ni Naibu Meya. Songoro Mnyonge.Mwenyekiti wa Serikali ya...
View ArticleVIONGOZI DARUSO WATINGA BUNGENI MJINI DODOMA
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) leo wametinga Bungeni katika ziara ya kimafunzo na kupokelewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni,...
View ArticleLOWASSA: SIWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MIKONO
Mbunge wa jimbo la Monduli Mkoani Arusha na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa akizungumza na kundi la makada wa chama cha Mapinduzi na waendesha Bodaboda kutoka Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya...
View ArticleDKT. BILAL, ALIPOHUDHURIA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WAKUU WA NCHI KUHUSU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya...
View ArticleCCM ARUSHA YAPINGANA NA KAULI YA NAPE
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha,Isaack Joseph akizungumza na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya chama hicho na kudai kushangazwa na kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi...
View ArticleJEMBE FM YA MWANZA YAPEWA LESENI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma (kulia) akimkabidhi rasmi leseni ya kurusha matangazo ya redio ya JEMBE FM ya jijini Mwanza, Mkurugenzi Mkuu wa Jembe FM,...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI MHE. WILLIAM LUKUVI AWASILI MKOANI RUKWA LEO, AAHIDI SULUHU...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Sumbawanga leo tarehe 25/03/2013 kwa ajili ya ziara ya siku mbili Mkoani Rukwa moja ikiwa...
View ArticleWANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMA MBEYA MAFUNZONI BUNGENI DODOMA HII LEO.
WANAFUNZI 97 kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma, Tawi la Mbeya, leo wapo Bungeni mjini Dodoma kwa ziara ya kimafunzo. Wanafunzi hao wanaosomea fani mbalimbali zikiwepo utunzaji kumbukumbu na makatibu...
View ArticleNi ukweli usiopingika kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu!!
Ni ukweli usiopingika kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu!!Hivi karibuni kumekua na mfululizo wa makundi mbalimbali ya watu kufurika nyumbani kwa mwanasiasa hodari,Mh.Edward Ngoyai Lowassa...
View ArticleMISA TANZANIA WAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI JUU YA UELEWA WA SHERIA ZA HABARI...
Mmoja wa Wawezeshaji kutoka Shule ya Mawasiliano ya Umma na Uandishi wa Habari (SJMC), Dk Ayub Rioba akiwasilisha mada yake hii leo juu ya umuhimu wa sheria nzuri na endelevu za vyombo vya habari...
View ArticleECASSA YAIKUTANISHA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF Tanzania, Abubakar Rajab, akitoa mada katika warsha juu ya uendeshaji wa bodi za mifuko ya hifadhi ya jamii iliyoandaliwa na Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya...
View ArticleBUNGENI MJINI DODOMA HII LEO
Mbunge ambaye tayari ameshatangaza nia yake ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Mbunge wa Nzenga, Dk Hamisi Kingwangala akiwa Bungeni mjini Dodoma hii leo. Akiuliza Swali hii leo kwa Waziri wa Kilimo,...
View ArticleWANACHUO MAGOGONI WATINGA BUNGENI KWA ZIARA YA KIMAFUNZO
Wanachuo wapatao 115 kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Magogoni Dar es Salaam leo wamefanya zira ya kiamsomo Bungeni mjini Dodoma. Wanachuo hao pia walikutana na wenzao wengime kutoka Chuo cha Utumishi...
View ArticleAJALI MTAA WA SAMORA NA AZIKIWE JIJINI DAR ES SALAAM
Otingo wa Gari la Kampuni ya Usafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam (UDA) lenye nama za usajili T 558 CVP akitoa maelezo kwa mmoja wa abiria na kumuomba asubiri awapandishe kwenye gari nyingine la...
View Article