Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10759 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MGIMWA ACHEZA DRAFT MTAANI JIMBONI KWAKE

Mkazi  wa Kiponzero Yohanes Chotelo akicheza bao na mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa aliyefika kijijini hapo kuchangia maendeleo ya shule ya Msingi Kiponzero.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI DODOMA WAUA JAMBAZI

Jambazi mmoja auawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh.2,100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa.          Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOLA: SIMBA TUMEREKEBISHA MAKOSA USHINDI NI LAZIMA

Na Fadher Kidevu BlogKOCHA msaidizi wa Simba Selemani Matola,amesema wamerekebisha mapungufu yaliyokuwepo kwenye safu yao ya ulinzi na anauhakika watapata ushindi Jumamosi wakati watakapo pambana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAWA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana (Kulia)akisalimiana na Rais wa  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YACHANGIA VIFAA VYA ICU HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Jumanne Mbepo (kulia), akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 20 Mkurugenzi  Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Marina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU LAZIMA ZIKATWE: MALINZI

Na Fadher Kidevu BlogRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema ni lazima klabu zikatwe fedha zao za udhamini.TFF iliagiza klabu zote 14 za Ligi Kuu Bara, zikatwe fedha zao za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS TANZANIA 2014 SPORTS DAY BONANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUTUBIA KIKAO CHA KAZI KWA VIONGOZI WA MIKOA< WILAYA NA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha KAzi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma leo Oktoba 2, 2014

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU LIGI KUU ZAGOMEA MAKATO YA 5% ZA WADHAMINI

Na Fadher Kidevu BlogKLABU 14 zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara zimetishia kutotumia  jezi zenye nembo  ya mdhamini mkuu wa ligi ambaye ni Vodacom pamoja na  matangazo ya moja kwa moja ya Azam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS UNIVERSE TANZANIA 2011 NELLY KAMWELU ENROLLS AT THE NEW YORK FILM ACADEMY

Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu is in New York and has started her studied in acting at the New York Film Academy .  New York Film Academy-School of Film and Acting (NYFA) is a for-profit...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI TANGA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF FURSA SEMINA DODOMA YASHAMIRI SIKU YA IDD EL HAJJ

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (wa kwanza kulia), Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma,  Kirondera Nyabuyenze (wa pili kulia) na...

View Article


WASIKILIZE WAWAKILISHI WA TANZANIA IRINE VEDA NA IDRIS NDANI YA JUMBA LA BIG...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIONGOZI APATA NAKALA YA KITABU CHA NYAYO ZA OBAMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA NBC IKULU DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu  (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA BUNGE...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMBE LA DUNIA LACHANGIA KUSHUKA KWA WATALII WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mhifadhi wa Utalii waHifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Eva Mallya akizungumza  katika ziara ya waandishi wa habari kutoka Arusha walikwenda kutembeleahifadhi hiyo na kujionea shughuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASA AWAKEMEA KUUZA ARDHI, NAMELOKI AGAWA BAISKELI 100 MONDULI

 Waziri mkuu  wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akihutubia semina ya ardhi wilayani Monduli jana katika hoteli ya Emanyata ambapo alisema kuuza ardhi ni sawa na kuuza utajiri na kununua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Biswalo Mganga ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka mpya

Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Biswalo Mganga (pichani katikati) kuwa kurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini.Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es...

View Article
Browsing all 10759 articles
Browse latest View live