PSPF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MKOANI MOROGORO
Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao Afisa...
View ArticleWAKANDARASI UMEME WASIOWAJIBIKA KUNYANG’ANYWA TENDA
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Meza Kuu-Katikati), akizungumza na wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zinazohusika kusambaza umeme vijijini kutoka India, China na Sri Lanka...
View ArticleBALOZI WA JAPAN ZIARANI WILAYANI MONDULI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkaribisha wilayani Monduli Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipowasili wilayani humo jana Jumapili...
View ArticleRAIS KIKWETE KUFUNGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA KESHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mwenge- Tegeta utakaofanyika tarehe 1 Oktoba...
View ArticleNSSF YATOA FURSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA SONGEA
Afisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ally Mkulemba akitoa mada katika semina ya Fursa kuhusuElimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi na kuwahamasisha wajiunge na mfuko huo...
View ArticleWanasiasa wakongwe wa Kenya wamtembelea Lowassa Monduli
Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa(kulia)akiwakaribisha mawaziri wa zamani wa Kenya William ole Ntimama(tai nyekundu) na John Keen(kushoto) nyumbani kwake Monduli. Wanasiasa...
View ArticleMADEREVA WA MABASI HAWAJUI KUSOMA ALAMA ZA BARABARA
Unaweza kusema madereva wengi wa mabasi makubwa hawajui kusoma alama za barabara au wanakiburi, zaidi ya kuhofia tu uwepo wa askari wa usalama barabnarani humo walio na tochi. Ona dereva wa basi hili...
View ArticleTANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA GIZ.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akitoa tamko kuhusu Siku ya Soko la Afya iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la GIZ , itakayofanyika Oktoba 2...
View ArticleKINANA AFANYA ZIARA BUMBULI KWA MAKAMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Mbuzii (hawapo pichani).Katibu Mkuu leo alianza ziara yake katika kata ya Mbuzii ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya chama...
View ArticleMKUTANO WA SIKU MBILI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI, UHAKIKA WA CHAKULA NA...
Jenerali Ulimwenguambaye ndiye mwezeshaji akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam...
View ArticleWAZIRI WA HABARI ZANZIBAR AFANYA ZIARA MAKAO MAKUU YA DW UJERUMANI
waziri na ujumbe wake wakioneshwa studio za kurushia matangazo za dw-kiswahili.picha ya 4. Waziri Said Ali Mabrouk na ujumbe wake wakipata maelezo mafupi kuhusu DW kutoka kwa Naibu Mkuu wa Idhaa...
View ArticleMEREMETA NA HASSANALI NDANI YA ZIMBABWE
MEREMETA NA HASSANALI launched in Harare on 26 Sept at the Zimbabwe Fashion Week regards
View ArticleNOOIJ AITA 26 TAIFA STARS KUIKABILI BENIN OKTOBA 12
Na Fadher Kidevu BlogKOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mart Nooij ameita kikos cha wachezaji 26 kwa ajili ya mechi ya kirafiki iliyopo kwenye Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa ya...
View ArticleMAXIMO APATA AHUENI BAADA YA OSCAR JOSHUA KUANZA KUJIFUA
Na Fadher Kidevu BlogKOCHA wa Yanga, Marcio Maximo ameanza kupata ahueni baada ya beki wa kushoto Oscar Joshua kuanza mazoezi mepesi mepesi leo kufuatia kuumia nyama za paja kwenye mchezo dhidi ya...
View ArticleNYUSI AKUTANA NA WANAMSUMBIJI WA ZANZIBAR
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO Mh.Filipe Nyusi akipokea zawadi kutoka kwa Jumuiya ya watu wa Msumbiji wanaoishi Zanzibar.Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia chama cha FRELIMO...
View ArticleKIUNGO COAST UNION ATAMBA YEYE NI ZAIDI YA NIYOZIMA NA KWIZERA
Rama Salim (kushoto) akiwania mpira na Emmanuel Okwi wa Simba.Na Fadher Kidevu BlogKIUNGO wa Coastal Union Mkenya Rama Salim amesema yeye ni zaidi ya Haruna Niyonzima na Pierre Kwizera wanaochezea...
View ArticleIPTL YAIMWAGIA TASWA MILIONI 20 KUANDAA TUZO ZA WANAMICHEZO
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada wakifungua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe...
View Article