Ndugulile Afungua kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Mji Mwema Kigamboni
Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile (Wa Pili Kulia) akifunguaRasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya. Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya...
View ArticleMDOGO MDOGO MAMBO YAMEANZA BIG BOROTHER AFRICA HOTSHOTS, LAVIDA AONGOZA...
Irine Vede 'Lavida' ateuliwa kuongoza kwa wiki ya kwanza.
View ArticleRAIS KIKWETE NA RAIS SHEIN KUKABIDHIWA KATIKA ILIYOPENDEKEZWA JAMHURI DODOMA...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt, Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleTRAFIKI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
Mratibu wa Usalama afya na mazingira mahali pa kazi wa Kiwanda cha Bia nchini TBL Arusha Heavy Kassena akiwaonyesha baadhi ya maeneo na shughuli zinazofanywa kiwandani hapo askari wa kikosi cha...
View ArticleLisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akikata utepe wakati wa uzinduzi wa album ya nyimbo za injili ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji, John Lisu wakati wa...
View ArticleKINANA APOKELEWA KALENGA NA KUSIMIKWA UCHIEF
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku sita...
View ArticleNICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014
Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014 usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa...
View ArticlePOLISI DODOMA KUIMARISHA ULINZI OKTOBA 8 SIKU YA KUKABIDHIWA RASIMU YA KATIBA...
TAARIFA YA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi David Misime(pichani) ameeleza kuwa kutokana na tukio la kihistoria ambalo...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA KIMATAIFA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO
Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Meneja wa tamasha la Karibu Music...
View ArticleTUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24
SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya...
View ArticleMBIO ZA UHURU MARATHON ZAZINDULIWA LEO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza katika uzinduzi wa mbio za Uhuru Marathon Dar es Salaam jana.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
View ArticleSIMBA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI KESHO KUJIANDAA NA YANGA
Na Fadher Kidevu BlogIKIWA zimebaki wiki mbili kabla ya mahasimu wa jadi katika soka la Tanzania kukutana klabu ya Simba inaondoka kesho (Oktoba 8,2014) kuelekea Afrika Kusini kupiga kambi ya wiki...
View ArticleMsiingize dini katika siasa, Rais awaambia mabalozi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa...
View ArticleSHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA (TMF), LIMEUNGA MKONO RASIMU YA MABADILIKO YA...
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kasimu Mapili (kulia), akiimba wakati Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari Dar es...
View ArticleUMOJA NI NGUVU: SIMBA DUME AKILA KICHAPO KUTOKA KWA NYATI
Simba dume amejikuta katik ahali tata baada ya kutolewa mkuku na Nyati katika Hifadhi ya Kruger, nchini Afrika Kusini, walipomfumania akiwa katika mawindo yake. Gazeti la Daily Mail la Uingereza...
View ArticleKINANA AFANYA ZIARA ISIMANI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Ilolo mpya jimbo la Isimani mkoani Iringa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la...
View ArticleINSTAGRAM PARTY MWANZA
Wadau, wapenzi na mashabiki wa Istagram wiki hii walikutana jijini Mwanza katika fukwe ya Jembe Beach, na kula bata la nguvu sambamba na burudani kali ya muziki wa kizazi kipya kutoka kwa nyota Ben...
View ArticleORIFLAME TANZANIA YATOA SH.MILIONI TANO KUSAIDIA MADAWATI KATIKA SHULE YA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Afrika Mashariki wa Kampuni ya Oriflame Tanzania, Klas Kronaas, akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhi fedha hizo iliyofanyika ofis za kampuni hiyo zilizopo Jengo la...
View ArticleOMMY DIMPOZ KUSINDIKIZA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2014
Mmoja wa wasanii watakao tumbuiza katika shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, Ommy Dimpoz akipiga picha ya 'Selfie' na warembo wanao wania taji hilo Dar es Salaam leo wakati wa mkutano maalum na...
View ArticleCBA YATANUA KWENYE M-PAWA
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara ya Afrika (CBA), Julius Mcharo akizungumza wakati kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, ambapo alitumia fursa hiyo kuwashukuru wateja wao kwa kuichagua...
View Article