NMB YADHAMINI MICHUANO YA GOLF YA NYERERE MASTER
Mkuu wa huduma za Kibenki kwa Wafanyabiashara wakubwa wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 19.4 kwa Rais wa Golf Tanzania, Joseph Tango...
View ArticleMFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA.
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Septemba, 2014 leo jijini Dar es salaam. Kulia ni...
View ArticleKINANA AFANYA ZIARA KILOLO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla...
View ArticleRAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA RASIMU YA MWISHO YA KATIBA...
Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akimpokea Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue siku ya Jumatano Oct 8, 2014 siku Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani...
View ArticleSTARTIMES YAFUNGUA DUKA JIPYA MTAA WA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Startimes Tanzania, Lanfang Liao (katikati), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka hilo. Wanashuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Oparesheni wa Kampuni hiyo, Geng Jlan Xun na...
View ArticleTaarifa ya Kuaga mwili wa Marehemu Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume...
Marehemu Meja Jenerali Muhidini Mfaume Kimario
View ArticleRAIS KENYATTA APOKEWA KWA SHANGWE NAIROBI
Makundi ya watu wanaoshangilia, yamempokea Rais Uhuru Kenyatta ambaye amerejea Kenya baada ya kuhudhuria Mahakama ya Kimataifa ICC, iliyopo The Hague.Bwana Kenyatta alihudhuria shauri mahakamani siku...
View ArticleMAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9-2014
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Mkoma, akizungumza katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu...
View ArticleGREEN WASTE PRO LTD YAKABIDHI MAKASHA YA KUHIFADHIA TAKA SHULE YA MSINGI BUNGE
Meneja wa uendeshaji wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd, Abdallah Mbena akikabidhi rasmi moja kati ya makasha matatu ya kuhifadhia taka yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mwalimu wa klabu ya...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZANZIBAR APOKELEWA KWA SHANGWE
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo (CHADEMA) - Zanzibar,Bw. Salumu Mwalimu (kulia) akikabidhiwa vifaa vya ofisi kutoka kwa mtangulizi wake,Bw. Hamad Yusuf (kushoto) wakati wa hafla ya...
View ArticleAmref Health Africa Tanzania yachangisha sh.bilioni 1.9 kusomesha wakunga
Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia katika hafla ya chakula cha hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kampeni ya Jitolee kwa ajili ya akina mama wa Afrika iliyofanyika Oktoba-9-2014...
View ArticleJAMBAZI SUGU LILILOKUA LIKIUWA WANAWAKE ARUSHA LAUWAWA NA POLISI WANANCHI...
picha ya juu na chini wananchi wa jiji la Arusha waliojitokeza kuuangalia mwili wa jambazi huyo atari aliowawa na polisi usiku wa kuamkia leo mwili wa Jambazi hilo ukiwa umelazwa ndani ya gari la...
View ArticleTANESCO YATOA MIEMVULI KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WENYE ULEMAVU TANZANIA
BAADHI YA VONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WENYE ULEMAVU TANZANIA WAKIMSIKILIZA KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO ENG NAZIR KACHWAMBA HAYUKO KWENYE PICHA WAKATI WA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA MSAADA...
View ArticleKINANA,NAPE WASHIRIKI UCHUMAJI WA MAJANI YA CHAI MUFINDI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia0 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakichuma majani ya chai katika shamba la Unilver, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua...
View ArticleKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC) CHAENDELEA KUIPINGA ADHABU YA KIFO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba. Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio (kulia) akizungumza katika mkutano huo....
View ArticleMWILI WA DK. WILLIAM SHIJA WAWASILI NCHINI HII LEO
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Ferdinand Shija umewasili nchini leo ikiwa ni siku saba tangu afikwe na umauti Oktoba 4, 2014. Shija aliyezaliwa Aprili...
View ArticleHUKUMU YA SHAURI LA MNDUMBARO KUJULIKANA JUMATATU
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo (Oktoba 11 mwaka huu) imesikiliza malalamiko yaliyowasilishwa mbele yake dhidi ya Dk. Damas Ndumbaro.Shauri hilo limesikilizwa na...
View Article