RAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA MALIGISU (100.5M) LINALOUNGANISHA WILAYA YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete watatu kutoka kulia akiwa amekata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Maligisu. Wa kwanza kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleSITI MTEMVU NDIYE REDD'S MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania 2014, Siti Abbas Zuberi Mtemvu akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililoshirikisha warembo 30 na kufanyika ukumbi wa Mlimani City Dar es...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE NA MAKAMU WAKE, DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHI KUAGA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya...
View ArticleKAMPUNI YA VIP YAOMBA TAKUKURU KUTOA TAARIFA DHIDI YA MADAI YA MBUNGE KAFULILA
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari pamoja na jopo la wanasheria kutoka Marekani (hawapo pichani kuhusu jambo hilo Dar es Salaam leo. Mwanasheria...
View Articlenani mtaani jembe yatinga arusha kwa kishindo
Mashabiki wa timu ya Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia mkoani Arusha wakishangilia baada ya kuwashinda mashabiki wenzao wa Simba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani...
View ArticleMAMA KANUMBA NA LULU NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO "MAPENZI YA MUNGU"
Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo "MAPENZI YA MUNGU" ambapo moja kati ya...
View ArticleWAZIRI MKUU WA TANZANIA MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA POLAND
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014.
View ArticleLORI LA MAFUTA LAPINDUKA MBAGALA NA KUWAKA MOTO WATU WAFA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema wakimsikiliza miliki wa Nyumba ya kulala wageni United State na bar, Laurent Kasiga iliyopo...
View ArticleVIINGILIO SIMBA vs YANGA VYATAJWA
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.Washabiki watakaolipa...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA AMIN ELIA MBAGA WA TTCL
Menejimenti ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bw. Amin Elias Mbaga aliyekuwa Meneja Uhusino kilichotokea tarehe 13.10.2014 katika Hospitali ya Regency...
View ArticleVIJIJI 1,800 KUPATA MAWASILIANO YA SIMU, INTERNET MWAKANI (2015)
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (Kushoto) akifafanua jambo katika mkutano wa wadau wa mawasiliano ya Tehama ujulikanao kwa jina la Capacity Africa. kampuni...
View ArticleELIMU YA URAIA NA UPIGAJI KURA HAIPASWI KUWA NA UTASHI WA KISIASA WALA UPENDELEO
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015...
View ArticleMTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA, TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar es Salaam leo (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa...
View ArticleBAYPORT TANZANIA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA BIDHAA
Meneja wa Masoko na mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania, Ngula Cheyo (katikati) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma ya Mikopo ya...
View Article