MAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI WA VIP ENGINEERING AND MARKETING LIMITED...
Simba akiwa amelala katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.Mawakili wa Kampuni ya Uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing Limited kutoka Marekani na Uholanzi wakijiandaa na safari ya kwenda...
View ArticleMPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI WA PSPF NI MKOMBOZI
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizunfumza wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa maafisa rasilimali watu kutoka wakala za serikali iliyofanyika mjini...
View ArticleKIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa...
View ArticleMBUNGE WA ARUMERU MAGHARIBI,MKOA WA ARUSHA GODLUCK OLE MEDEYE ATOA MISAADA...
Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.Mbunge wa Arumeru...
View ArticleMAJAMBAZI YAPORA FEDHA NA KUUA NJE YA KIWANDA CHA VIATU BORA DAR HIVI PUNDE
Polisi akiingia boraBaadhi ya Polisi wa doria ya Pikipiki wakiwa nje ya kiwanda cha Bora.*****Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamepora begi linalodaiwa kuwa na fedha kisha kumpiga risasi ya...
View ArticleCCM YATOA PONGEZI KWA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambacho kimemalizika leo mjini Dodoma na kutoka na mazimio ya kupitisha sera ya chama kujiendesha kiuchumi...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE OFFICIATES AT THE CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS...
President Kikwete delivers his speechTanzanian songbird Lady Jay Dee sings the National Anthem at the opening of Gala Awards ceremony held at the Mlimani City Conference Centre, in Dar es Salaam on...
View ArticleTAMASHA LA FIESTA LAFANA,DAVIDO,ALI KIBA,DIAMOND WAZUA GUMZO KWA...
Ilikuwa ni shoo moja nzuri kutoka nyumba ya vipaji ya THTMmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha...
View ArticleYANGA NA SIMBA KATIKA PICHA
Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleFILAMU YA MAPENZI YA MUNGU KUINGIA SOKONI WIKI HII..
Mwezi, Wiki na Sasa siku zimebaki kwa ile Filamu Mpya na ya Kusisimua ya MAPENZI YA MUNGU Kuingia Sokoni ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii...
View ArticleREDIO 5 WAWAKUTANISHA WANASALAMU KUTOKA MIKOA ZAIDI YA 21,WAFANYA ZIARA...
Baadhi ya Wanasalamu wa kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu njiro jijini Arusha wakikabidhi sehemu ya msaada wao kwa uongozi wa hospitali ya mkoa Mt.meru jana,kulia ni mratibu wa salamu kupitia...
View ArticleSIMBANET YAFANYA SIKU YA FAMILIA
Kampuni ya SimbaNET (T) Linited ya jijini Dar es Salaam Jumamosi hii iliandaa bonanza la michezo lililowakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni hiyo na familia zao. Siku hiyo ilikuwa ni ya kula...
View ArticleBI REHEMA AMEPOTEA
Bi Rehema Salum Msambya pichani juu amepotea tokea tarehe 16/10/2014 maeneo ya Kigamboni - Kisota karibu na Shule ya Sekondari ya Abdu jumbe. Siku hiyo alikuwa amevaa Dela Na Skintirt ya Rangi ya Blue....
View ArticleSOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI
SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI KATIKA KAMPENI YAO YA ‘NIJALI, MCHANGO WAKO TUMAINI LA MAISHA YANGU’ KWA AJILI YA WATOTO WA SOS VILLAGES ITAKAYOFANYIKA TAREHE...
View Article