GEITA WAPATA MSHINDI WA TAJI LA REDD'S 2013, NI SALSHIA ISIDORE
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Geita 2013, Salshia Isidore (katikati) akiwa mwenye furaha wakati wa kupiga picha ya pamoja na warembo wqenzake Stella Magerezi (kulia) aliyeshika nafasi ya pili na...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA SH. MIL. 41 MBARALI,MBEYA
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzake wakifurahia maji yanayotoka katika kisima walichosaidia kijijini isnura,...
View ArticleDALADALA LAINGIA MTARONI MAGOMENI
Daladala moja inayofanya route zake za Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaan, imetumbukia mtaroni asubuhi ya leo maeneo ya Magomeni Mikumibaada ya kutaka kuovertake gari ndogo aina ya Noah na...
View ArticleBAJETI YA EAC YAPUNGUA KWA DOLA MILIONI 10
Na James Gashumba, EANAMakadirio ya bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014 imepunguza matumizi yake kwa dola za Kimarekani...
View ArticleMSHINDI WA DROO YA KWANZA YA WINDA NA USHINDE AKABIDHIWA HUNDI YA TSH...
Mshindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya WINDA NA USHINDE kutoka Marangu, Moshi Honest Minja (kulia) akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni moja na Meneja mauzo wa kanda ya kaskazini kutoka Kampuni...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiinua juu na kunyesha Kitabu cha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi...
View ArticleMKUTANO MKUU WA 12 WA MWAKA WA VITUO VYA ELIMU KWA NJIA YA MTANDAO KUTOKA...
Katibu Mkuu ofisi ya Rais na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi c akijadiliana jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka Senegal Bwana Mor Seck kushoto kwa Yambesi ni Mkurugenzi mtedaji wa...
View ArticleMWILI WA MANGWEA KUTUA DAR KESHO
Wadau wa Sauzi wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii wa kizazi kipya aliyefariki majuzi marehemu Albert Mangwear jioni hii huko Johannesburg, Afrika Kusini. Ratiba zinaonesha mwili...
View ArticleAFISA HABARI WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AJERUHIWA NA MAJAMBAZI NYUMBANI...
Nkomola akiwa wodini amelazwa hii leo. Nkomola akiwa na Mchumba wake Elizabeth wakati alipohudhuria send off yake huko Same.Wamuibia fedha na vitu mbalimbali vya maandalizi ya harusi yake wapora pia...
View ArticleMAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAUPOKEA MWILI WA MANGEHA AIRPORT LEO
Mwili wa Msanii Albert Mangweha 'Ngwair' a.k.a mimi au Cow Boy uwewasili jijini Dar es Salaam hii leo majira ya saa 8 mchana na kupokelewa na maelfu ya mashabiki, wasanii wenzake, ndugu jamaa na...
View ArticleRais Kikwete apanda mti wa Kumbukumbu Yokohama
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi wa jiji la Yokohama muda mfupi baada ya kupanda mti aina ya Jacaranda kutoka Tanzania katika bustani za jiji hilo leo mchana.Watatu kushoto ni...
View ArticleSOMA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013
Toleo la Rasimu ya Katiba limechapishwa kwenye Gazeti la Serikali kwa mujibu wa kifungu cha 18(5) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83, kwa madhumuni ya kuwepo kwa wananchi kusoma na kutoa...
View ArticleTwanga kupamba Redds Miss Sinza 2013
Redds Miss Sinza ambaye pia ni Redds Miss Tanzania, Brigitte Alfred alisisitiza jambo kwa warembo wa Redds Miss Sinza 2013 alipotembelea kambi ya mazoezi hiyo. Warembo hao watapanda jukwaani Ijumaa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo marav tu baada ya kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi....
View ArticleMDAHALO WA ELIMU YA URAIA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Katibu wa asasi isiyo ya kiserikali ya Mategemeo Women Association,Viola Lindikikok akitoa mada katika mdahalo wa elimu ya uraia ulioandaliwa na asasi hiyo na kuwashirikisha zaidi ya vijana 100 kutoka...
View ArticleVIWANJA VINAUZWA JIJINI MWANZA
Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUTUniversity. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa katika...
View ArticleBARAZA LA BIASHARA EAC LAPATA MWENYEKITI MPYA
Mweyekiti mpya wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) Vimal ShahMwenyekiti Msaidizi wa Baraza la Biashara Afrika Mashariki, Esther Mkwizu (Tanzania).Na Isaac Mwangi, EANA, ArushaBaraza la...
View ArticleWANAHABARI WAMPOKEA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSALOM KIBANDA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Makumi...
View Article