Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 49

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMKBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE...

Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanesco Sacos yafanya mkutano wa mwaka na kuchagua viongozi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akipitia hutuba kabla ya kufungua mkutano akiwa mgeni rasmi.  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA CHALINZE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (katikati) akikabidhi gari jipya la kubebea wagonjwa (Ambulance), kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Dk. Mastidia Rutaihwa kwa ajili ya Kituo cha Afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU ZuRii House of Beauty Dar Free Market complex 1st Floor Shop No F4.

   Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015. Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA, SUMAE, NYALANDU WASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU KKKT KIMANDOLU

 Waziri mkuu wa mstaafu na  mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa  kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM LINDI YAKUTANA KUWEKA MIKAKATI MIZURI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu, Nape Nnauye akitoa salaam za pongezi kwa wananchi wa kijiji cha Kilangala B kata ya Kilangala  kwa kuipa ushindi CCM kwenye uchaguzi serikaliza mitaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NA YULE........Mahojiano na Dr Talib Ali

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dk Talib Ali Yeye ni mwanzilishi wa Avatar Dental Care iliyopo Leesburg Virginia.Ameeleza mengi kuhusu kazi zake na mikakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE ANNA TIBAIJUKA ANAPOWATEMBELEA WAPIGA KURA WENYE KERO YA MAKAZI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI AANZA KUTIMIZA AHADI, AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Diwani wa Kata ya Miono. Senguli Mbele moja kati ya matairi manne aliyonunua kwa ajili ya gari la kubebea wagonjwa katika Kituo cha Afya cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL Uni255 YAZINDULIWA DAR

Msanii nyota wa Bongo Fleva nchini, Zuwena Mohamed a.k.a ‘Shilole’ akitumbuiza umati wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi rasmi wa Airtel Uni255 ambayo ni huduma pekee ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI AZINDUA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MAGEREZA YA BWAWANI

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUUZI WA VITABU KARIAKOO NA STAILI YAKE YA BIASHARA

Mchuuzi wa vitabu vya watoto wa shule za chekechea na Msingi akinadi vitabu hivyo eneo la Mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam. Shule nyingi za msingi zinatraji kufunguliwa tena Jaruani 13...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CATHERINE MAGIGE AZINDUA DUKA JIPYA LA UREMBO LA ZuRii LILILOPO DAR FREE MARKET

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akikata utepe kuzindua rasmi duka la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na Mwana Diaspora ambaye pia ni Blogger Jestina George Meru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujenzi makao makuu Mahakama ya Afrika kuharakishwa

Na Mtua Salira, EANARais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Jaji Augostino Ramadhani alikutana mwishoni mwa wiki na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam ambapo pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM ZANZIBAR.

 Pichani kati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt Jakaya Kikwete,akiwaongoza wajumbe (hawapo pichani) wa Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi ya Afisi ya CCM makao Makuu Kisiwandui mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA UHIFADHI WANYAMAPORI

Ujumbe wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb) katika mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudia Prince Bandar bin Saud bin Mohammad Al-Saud ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MGOMBEA UNEC, NJOMBE

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC), Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za CCM, wakati wa mazishi ya, aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI DODOMA INAWASHIKILIA WANAFUNZI 84 WA UDOM KWA TUHUMA ZA KUHAMASISHA...

Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za...

View Article

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) HAYA HAPA

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>