Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLOLOSOKWAN WAPIGWA MSASA KUKITUMIA VYEMA KIJIJI CHA DIJITALI

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akiendesha mjadala kwa wanakijiji wa Ololosokwan na vijiji vingine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mazungumzo na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyi (Pt 1)

Karibu sana na asante kwa kujiunga nasi katika kipindi hili cha HUYU NA YULETumepata fursa ya kuongea na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyi ambaye ametueleza mengi juu ya safari yake kimaishaKatika sehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FNB YAFUNGUA MATAWI MAPYA JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja Usambazaji na Matawi, Bi. Masala Korosso wa FNB Tanzania akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa matawi mapya ya benki hiyo yaliyofunguliwa Sinza Kijiweni na Mbagala Zakhem kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Ndovu Golden Experience Wazuru hifadhi za Selous

 Meneja wa Kambi ya Lake Manze akiwaelekeza jambo washindi wa program ya Ndovu Golden Experience  iliyokuwa ikiendeshwa na TBL kupitia bia yake ya Ndovu walipokwenda kujionea vivutio mbalimbali katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA...

Katibu wa Nchi kutoka Wizara  inayohusika na Masuala ya Uchumi na Nishati ya  Ujerumani  Mattias Machnig (kulia) akisisitiza jambo katika kikao kilichokutanisha  ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEUWA POLISI MKOANI DODOMA NAE AUWAWA NA WANANCHI

WAKATI mpiganaji aliyeuawa akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane katika eneo la Chang’ombe Juu PC Joseph Swai anaagwa mchana huu , blogu hii imeelezwa kuwa mtuhumiwa Tisi Malya ameuawa na wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA GE OIL & GAS, FLORENCE ITALY

Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene (MB) akihutubia wadau mbalimbali wa mafuta na gesi duniana katika mkutano wa mwaka ulioandaliwa na GE Oil & Gas uliofanyika Florence,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mustafa Hassanali Launches Men’s Resort Wear in South Africa as Africa’s...

Pan African Designer Mustafa Hassanali On Friday 6Th February will launch his First Menswear Resort collection at the First South Africa Menswear week in Cape Town.   “As the vacation season just got...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON

 YAMOTO BAND  COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTIST WASABATO DUNIANI AWASILI TANZANIA

Kiongozi wa Kanisa la Waadventist Wasabato (SDA) duniani, Askofu Ted Wilson (wapili kushoto) akingalia mkewe Bi Nancy Wilson akivishwa kitenge na wamama wa SDA Tanzania  wakati wa mapokezi yao Nhini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AANZA ZIARA KWENYE VYOMBO VYA HABARI

 Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali,  Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

wakulima 7 wakabidhiwa matrekta leo

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji, matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AMTEUA HAULE BALOZI MPYA KENYA, BATILDA AHAMISHIWA TOKYO JAPAN

Balozi mpya wa Tanzania, Tokyo JAPAN, DK Batilda Salha Buriani.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHY ROSE BHANJI AJITOLEA KUCHONGA BARABARA YA MBWENI - MALINDI

Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM

Wananchi wakiangalia jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) la Lumumba, ambapo kilizaliwa chama cha Tanu lililobomolewa kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DUNIA YASIFU JITIHADA SEKTA YA MADINI

Benki ya Dunia (WB) imeridhishwa na matokeo ya awali ya mradi wa kuwasaidia wachimbaji wadogo awamu ya Kwanza na maboresho ya Mfumo wa utoaji na usimamizi wa leseni za madini kwa njia ya mtandao...

View Article

JARIDA LA WIKI LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, SOMA WOSIA WA PROF MUHONGO KWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULAJI WA PWEZA

Pweza ni mmoja kati ya samaki wanaopendwa sana na wakaziwa pwani kutokana na utamu wake, pia virutubisho muhimu kwa afya alivyo navyo.Zipo aina tofauti tofauti ya mapishi ya samaki huyu,yakiwamo yale...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI...

 Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya Zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYOSO, MORRIS WATUPWA JELA YA TFF

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)  imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City  na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>