MAKAMU WA RAIS DK BILALI AONGOZA MAZISHI YA WANAFAMILIA SITA WALIOKUFA...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali leo amewaongoza maelfu ya waombolezaji waliofuruka kuwazika ndugu wa familia moja wapato 6 waliofariki katika ajali ya moto iliyoteketeza nyumba...
View ArticleMOTO MKALI WAZUKA DAR NA KUHARIBU MALI KATIKA GOROFA
Moto mkali ukiwaka hii leo katika moja ya majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mtaa wa Libya na Kisutu Dar es Salaam, na kusababisha hasara ya mali.hadi habari hii inaruka hewani chanzo cha...
View ArticleTBN WATOA UBANI KWA MWANAHABARI CONRAD MPILA ALIYEFIWA NA WATU SITA WA...
Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa poe na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa...
View ArticleMBUNGE ABWAO AWAPA POLE SHULE YA SEKONDARI IDODI
Mbunge wa viti maalumu Chadema, Chiku Abwao akikagua jengo lilokumbwa na ajali ya moto katika shule ya Sekondari Idodi.Akiangalia moja ya mali za wanafunzi zilizoharibika na moto.Mbunge wa Viti...
View ArticleJAPAN KUJENGA KIWANDA CHA KUKAMULIA MAFUTA CHATO
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Clement Berege pamoja na Balozi wa Japan Masaki Okada wakiweka sahihi ya msaada wa fedha kwa ajili ya mradi wa uwekwaji mashine ya kukamulia mafuta ya...
View ArticleDKT. REGINALD MENGI KUMZAWADIA MILIONI 10 MSHINDI WA WAZO LA BIASHARA LA 3N
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi.Na Andrew Chale wa modewjiblogMshindi wa Januari 2015 wa shindano la wazo la biashara 3N anatarajiwa kutangazwa siku ya Alhamisi ya Februari...
View ArticleAZAM YAILAMBA VILIVYO MTIBWA SUGER CHAMAZI HII LEO 5-2
AMAKWELI utamu wa bidhaa za Azam, unatokana na sukari ya Mtibwa, na hili limejidhihirisha hii leo katika mchezo wa mpira wa Miguu uliozikutanisha timu hizo za Watengeneza keki na lambalamba Azam FC...
View ArticleWANAFUNZI WAANDAMANA KWENDA KWA MKUU WA MKOA DAR KUPINGA KUBOMOLEWA KWA UZIO...
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Ilala, iliyopo Karakata Jijini Dar es Salaam wakiandamana jana kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufikisha kilio chao cha kubomolewa uzio wao na wananchi...
View ArticleLAUNCHING OF "TANZANIA FINANCIAL SERVICES FOR UNDESERVED SETTLEMENTS" ( TAFSUS)
“ Dr. Evans Rweikiza adressing the press during the official launching of Tanzania Financial services for Undeserved Settlements(TAFSUS) at Giraffe Hotel Dar es Salaam." .
View ArticleWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPATA TUZO YA KIMATAIFA
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipokea Tuzo ya Kimataifa ya mwaka ya Maendeleo ya Udhibiti wa Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat...
View ArticleZIARA YA RAIS JK MKOA WA KILIMANJARO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili...
View ArticleMTOTO DUZE DAVID TUSEKELEGE AMEPOTEA
DUZE DAVID TUSEKELEGE .MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA...
View ArticleJAMII YATAKIWA KUWASAIDIA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM - MAMA SALMA KIKWETE
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi (hawapo pichani) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Tawi la...
View ArticleWAKALI WA MBIO WATHIBITISHA KUSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2015
Mbio za 13 za Kilimanjaro Marathon ambazo zimepangwa kufanyika Machi 1, 2014 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zimepata msisimko mpya baada ya wanariadha nyota wa Tanzania kuthibitisha...
View ArticleRED ARROWS FC YA ZAMBIA KUWEKA KAMBI TANZANIA
Kutoka kushoto ni Ofisa habari wa Red Arrows Lt Melody Siisii, Mwenyekiti wa Red Arrows Col Nolasco Chilando, Katibu Mkuu wa TFF Selestine Mwesigwa na Ofisa Ubalozi wa Zambia nchini Tanzania Alex...
View ArticleEMMANUEL HUMBA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA WADHAMINI MFUKO WA FIDIA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), NduguEmmanuel B. Humba.Mmoja wa Wajumbe wa Bodi hiyo Ndugu. Athman H. Msengi ambaye ni Mwakilishi wa Walemavu (CHAWATA)...
View ArticleVIJANA CUF KUANDAMANA KESHO LICHA YA ONYO LA POLISI
Mwenyekiti wa Jumuia ya Vijana wa CUF Taifa (JUVICUF), Hamidu Bobali akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Februari 12,2015 kuhusian na maandamano yatakayo fanyika kesho licha ya kukosa...
View ArticleEATV, EAST AFRICA RADIO WAZINDUA KAMPENI YA “ZAMU YAKO 2015
KITUO cha Televisheni chenye ushawishi mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, EATV, sambamba na kituo chake cha East Africa Radio, mapema leo wamezindua rasmi kampeni kubwa na ya aina yake ijulikanayo...
View Article