YANGA YAIBANJUA 3-1 MBEYA CITY TAIFA LEO
Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeshinda mchezo huo...
View ArticleKutukutu Morogoro wafaidika na mradi wa "Airtel Shule Yetu"
Wanafunzi wa shule ya sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni wakisoma vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya Airtel shuleni hapo kwa ajili ya masomo ya sayansi vyenye thamani ya sh.milioni mbili.Meneja...
View ArticleFAMILIA YA EDWARD MORINGE SOKOINE WAFANYA MISA YA KUMKUMBUKA BABA YAO
Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...
View ArticleBODI YA MANUNUZI NA UGAVI (PSPTB) YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA...
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB, Winfrida Igogo akitoa mada katika mafunzo ya wanafunzi wanaosoma masomo ya manunuzi na ugavi katika Chuo cha TIA Mbeya. Wanafunzi ambao wanasoma masomo ya...
View ArticleDC KINONDONI AUNDA TUME HURU KUCHUNGUZA UBOVU WA BARABARA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu tume aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza ubovu wa barabara...
View ArticleWANAFUNZI WA CARMAN AINSWORTH HIGH SCHOOL WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA...
Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya kuonana na Mhe balozi Liberata Mulamula. Baadhi ya...
View ArticleTWANGA PEPETA KUWATAMBULISHA ALLY CHOKI NA SUPER NYAMWELA
Ule utambulisho wa Ally Choki akiwa na Twanga Pepeta sasa ni Rasmi siku ya Ijumaa tarehe 24-04-2015. - Utambulisho huo unafanyika Escape One Mikocheni. - Utambulisho wa Ally Choki unaenda sambamba na...
View ArticleVIONGOZI WA COASTAL UNION WATAKIWA KUSHIKAMANA.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Magalula Saidi katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Coastal Union na viongozi wa mkoa,kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Coastal Union,Steven...
View ArticleMASHINE ZA BVR AWAMU YA PILI KUPELEKWA MIKOA SABA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini Tanzania itaanza kusambaza mashine za BVR 248 katika mikoa saba nchni Tanzania Kuanzia katikati mwa wiki ijayo.Mikoa iliyopangwa kuanza kupokea mashine hizi ni mikoa...
View ArticleBASI LA JORDAN LAPATA AJALI NZEGA
Pichani juu ni mmoja wa majeruhi akisaidiwa na msamaria mwema mara baada ya kupata ajali. Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili...
View ArticleAirtel yakabidhi magari kwa washindi 8 wa Mkoa wa Dar es saalam
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya...
View ArticleMTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya...
View ArticleKITABU CHA KIGWANGALLA "TANZANIA TUITAKAYO" KUSAMBAZWA NCHI NZIMA
Na Zainul Mzige wa modewjiblogMbunge wa Nzega ambaye amejitokeza kutangaza nia ya kugombea urais nchini ambaye pia amekuwa mtetezi mkuu wa wananchi wa jimboni kwake kupitia migodi mbalimbali Mh. Dk....
View ArticleNDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI NA KUMNADI MRITHI WAKE
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini.Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki Meya wa Manispaa...
View ArticleDK PRISCA MARIDADI ALIVYOMEREMETA
Biharusi mtarajiwa Dk Prisca Maridadi akiwa katika pozi la picha wakati wa siku yake maalum ya kuagana na familia yake kabla ya kufunga Pingu za maisha na mumewe mtarajiwa. Biharusi ni Daktari wa...
View ArticleACT YANGURUMA SINGIDA YAENDELEA KUFUNGUA MATAWI
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kintintu mara baada ya kuzindua tawi la chama hicho.Katika mazungumzo yake Zitto amesema ACT kinaweza...
View Article