Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10759 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI TANDO LA POLITIK'S TANZANIA

KWA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOHUSU MASUALA YA SIASA ZIKIWEMO HABARI MAKALA FUPIFUPI , VITUKO , KUJIFAGILIA NA UWAJIBIKAJI WA WANASIASA KWA JAMII TEMBELEA www.politikstz.blogspot.com ILI UPATE KUJUA,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI...

Meneja Ufundi Idara ya Petroli EWURA Ndugu Gerald Maganga akiwasilisha moja ya mada katika Semina kwa Wafanyabiashara wa Mafuta Mikoa ya Rukwa na Katavi katika ukumbi wa Moravian Centre Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER

Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

19 WAFA KATIKA AJALI YA HIACE MKOANI MBEYA

Ajali imetokea mapema leo Wilayani Rungwe, Jijini Mbeya ambapo Basi dogo aina ya Toyota Hiace imetumbukuia kwenye Mto Kiwira mapema  na watu 19  wamepoteza Maisha.Kwa mujibu wa mtoa taarifa, amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU...

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst Akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za kumaliza msimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA MAGARI TANGA (ZIG ZAG TANGA RALLY 2015) KUTIMUA VUMBI MEI 3...

mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano  hayo,Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo, Mehul Asher akizungumza leo ofisini kwake.****** NA MWANDISHI WETU, TANGA.MASHINDANO ya mbio za Magari ya “Zig Zag...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COASTAL UNION YAJIFUA KUWAKABILI MAAFANDE WA POLISI MOROGORO

Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu "Julio"akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya kujiandaa na mechi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IMETOSHA WATEMBELEA KITUO CHA BUHANGIJA SHINYANGA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY BRIGHTON BABILE

Siku ya Jumamosi Aprili 16 mwaka 2005 Mwandishi wa habari wa gazeti kongwe la chama cha Mapinduzi, Ester Amos Bulaya alijifungua mtoto wa kiume aliyemwita jina la Brighton.  Juzi Aprili 16 katika moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YABANWA MBAVU NA ETOILE DU SAHEL UWANJA WA NYUMBANI

Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU...

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kigogo na vijana waliopo katika kundi maalumu kutokana na kuathiriwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CBA YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 5 KWAAJILI YA UJENZI WA HOSTELI YA...

Meneja masoko wa benki ya CBA Tanzania Solomon Kawishe kushoto,Meneja masoko Moshi Eliud Marko katikati wakimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kifaru Abdallah Mwomboke iliyopo katika kijiji...

View Article

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA ASHIRIKI MAZOEZI YA JOGING

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA WASABATO WAISHIO NCHINI...

Mchungaji Wilbert Nfubhusa akihubiri kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasababto waishio nchini Marekani uliofanyika siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland. Kulia ni Michael...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO NA VIONGOZI WENZAKE WA ACT WAZALENDO WATEMBELEA KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na watoto walemavu wenye albinism,walemavu wa macho na viziwi waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga jana....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU: UMOJA WETU NDIO UTATUFANYA TUSONGE MBELE

Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Joshua Kileo (Kulia)  baada ya ibada katika kanisa la KKKT Mjini Kati siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAFANYA VIZURI MBIO ZA NGORONGORO MARATHONI 2015.

Waziri mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch....

Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU JIJINI ARUSHA

Turn off for: SwahiliMratibu wa Kambi ya matibabu Arusha katika kituo cha kutoa huduma kwawanawake (MMC)kilichopo mkabala na Hoteli ya Impala, ambapo ushauri huo unatolewa, Austin Makani akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usikae kimya! Wafanye wabadilike

View Article
Browsing all 10759 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>