MRINDOKO KUJITOSA UBUNGE MOSHI MJINI
DAUDI MRINDOKO KASHAWISHIKA NA KAKUBALI OMBI LA WANANCHI WA JIMBO LA MOSHI MJINI KUGOMBEA UBUNGE 2015"Kwa nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu anawezesha yote na kutujalia uhaiWaheshimiwa Mabibi na...
View ArticleTUZO ZA RAIS KWA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara...
View ArticleDSE WANUNUA OFISI JENGO LA NHC MOROCCO SQUARE
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini...
View ArticleUANDIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWORK' (TBN).
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA TAARAB 'USIKU WA MSWAHILI' KUFANYIKA IJUMAA HII YA APRILI 24
Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la 'Usiku wa Mswahili' kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati,...
View ArticleShindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo
Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni...
View ArticleSEREKALI YAONYA WANAOTOROSHA MADINI
Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite one Hussein Gonga akiwa anamuonyesha Waziri wa nishati na majini George Simbachawene madini ambayo yanachibwa na kampuni yao. Na Woinde Shizza,Arusha...
View ArticleTIMU 8 ZA SOKA KUCHUANA NDONDO CUP 2015 ARUSHA
Kikosi cha FFU Oljoro ambacho kitashuka kuchuana na Tanzanite SC . Mkoani Arusha mwishoni mwa juma hili kunataraji kufanyika michuano ya NDONDO CUP itakayoshirikisha jumla ya timu nane kutoka mkoani...
View ArticleBASATA WAMPONGEZA MAYUNGA KWA KUWAKILISHA VYEMA TANZANIA
Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa na Masoko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Msao Shalua (kulia)akipokea tuzo aliyoipata Nalimi Mayunga mara baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Airtel Trace Music...
View ArticleLANTANA HOTEL KIOTA KIPYA CHA MARAHA NA USINGIZI MWANANA JIJINI DAR ES SALAAM
KARIBU / WELCOME To Lantana Hotel , “the best place to be” a newly open hotel with world class standard located at Sinza Area in Kinondoni Municipality, 100m off Shekilango Road near SinzakwaRemmy...
View ArticleMzee Mwinyi ahutubia wadau wa Kiswahili Washington DC
Ifuatayo ni hotuba ya Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipohutubia mkutano wa nne wa Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) uliofanyika tarehe 23 Aprili...
View ArticleLowassa ahutubia sherehe za muungano Dubai
Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika falme za kiarabu...
View ArticleBALOZI LIBERATA MULAMULA AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA WASHINGTON, DC
Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani akifungua mkutano wa Mabalozi wa Heshima uliofanyika siku ya Ijumaa April 24, 2015 Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Mkutano huo...
View ArticleWASHINDI WA SHIKA NDINGA YA 93.7 EFM WAPATIKANA
Mojawapo ya ndiga zilizoshindaniwa likioneshwaMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadik akiongea na Dennis Ssebo wa 97.3 EFM kwenye hafla hiyo jana katika uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe....
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO LEO
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya...
View ArticleHalmashauri zashauriwa kupunguza utegemezi wa rasilimali za kukabili maafa
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akisisitiza juu ya utekelezaji wa Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Mtwara wakati wa uzinduzi wa mpango Mkoani Mtwara, kushoto kwake ni Mkurugenzi...
View Article