Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTWRA KUMEKUCHA; HOTELI YA KISASA YA SHANGANI HOTEL APARTMENTS YAZINDULIWA

Mandhari ya nje ya Hoteli ya Kisasa ya Shangani Hotel Apartments iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego usiku jana mjini Mtwara. Pia ulizinduliwa Mgahawa wa kisasa ambapo wageni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA AFARIKI KUZIKWA JUMANNE JIJINI DAR

Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali kuu ya Jeshi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SHIMBO AWATAKA WATANZANIA KUDUMISHA MUUNGANO

 Balozi wa Tanzania nchini China, Mh Abdulrahman Shimbo akitoa mawaidha kwa waalikwa katika sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) zilziofanyika Ubalozini mjini hapa. Mh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMISEMI YAANIKA MAJINA YA WALIMU WALIOPATA AJIRA MPYA MWAKA 2015

Katibu Mkuu OWM-TAMISEI, Jumanne Sagini KUPATA ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPATA AJIRA HIZO BOFYA LINKI HIZO HAPO CHINI ORODHA YA WALIMU WAPYA WALIOPATA AJIRA YA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAR MABINGWA DARTS TAIFA

Machezaji wa vishale(Darts) wa klabu ya Friedz ya Tiptop Manzese jijini Dar es Salaam wakiwa wameshika kikombe mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya mchezo huo yaliyofanyika...

View Article


CHAMA CHA MAPINDUZI WAMLILIA BRIG GEN HASHIM MBITA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MHE:PINDA ASISITIZA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifungua  Kongamano la Kimataifa la Siku 3 la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 38 za Afrika na 18 kutoka nje ya Bara la Afrika leo jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA BINGWA

 Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezona Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1. Amis Tambwe akipokea mpira kutoka kwa Mwamuzi Zacharia Jacob kutoka Kisarawe mkoani Pwani,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OWENYA CUP YAZINDULIWA MJINI MOSHI

Mbunge wa viti Maalumumkoa wa Kilimanjaro,Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Sitta asisitiza ushirikiano mahala pa kazi

 Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (aliyesimama) akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAZINDUA AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA UHAMASISHAJI MFUKO WA AFYA YA JAMII...

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA...

Mbunge wa jimbo la Karatu mkoani Arusha mchungaji Israel Natse wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ambaye pia Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini akihutubia wananchi wake katika mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KADA WA CCM ARUSHA ATANGAZA KUMVAA LEMA UCHAGUZI MKUU

Joto la ubunge katika jimbo la Arusha mjini limezidi kupanda mara baada ya Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoani Arusha,Kim Fute (pichani)  kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo endapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII 50 KUHAMIA MKURANGA MEI

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akitoa maelezo ya nyumba zinazoendelea kujengwa katika kijiji cha Mwanzega.******* KIKUNDI cha Wasanii 50 wa Mtandao wa Wasanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MBALIMBALI ZA SOKA KUTOKA TFF

MALINZI AWAPONGEZA YANGARais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Yusuf Manji kufuatia timu yake kutwaa Ubingwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ WALILIA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA (MSTAAFU)

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Hashim Iddi Mbita (mstaafu) kilichotokea tarehe  26 Aprili 2015.Brigedia Jenerali Hashim Mbita (mstaafu)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIVULI WA FEDHA, JAMES MBATIA AZUNGUMZIA KUPOROMOKA KWA THAMANI YA...

Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO...

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA TANZANIA DKT. JAKAYA KIKWETE AZINDUA MELI VITA ZA...

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI

Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo...

View Article
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>