BLOGGER ADAM MZEE AFUNGA NDOA NA BI.LILIAN MALEKIA
Maharusi Adam Mzee na mkewe Lilian Malekia wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa yao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka...
View ArticleMAHAFALI YA NANE YA CHUO CHA WAALIMU WA SHULE ZA AWALI CHA NEW MONTESSORI...
Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi akizungumza na wahitimu katika mahafali hayo yaliyofanyika Shule ya Msingi ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana. Mgeni rasmi katika mahafali...
View ArticleMGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR ES SALAAM
Mabasi yakiwa yameegeshwa Kituo cha Mabasi Ubungo baada ya madereva kuwa katika mgomo wa kimasilahi Dar es Salaam jana. Mgoma huo umefanyika nchi nzima ukihusisha na daladala hivyo kuleta adha kwa...
View ArticleKITWANGA ATEMBELEA MGODI WA NORTH MARA
Meneja Uendelezaji wa Mgodi wa dhahabu wa North Mara, Abel Yiga, (kushoto), akimpatia maelezo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati waziri huyo alipotembelea maeneo yanayozunguka...
View ArticleMVUA YASABABISHA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI,MBUNGE LUCY OWENYA AWAFARJI WAATHIRIKA
Hata vyakula ambavyo vingi vyao vililowa na maji vilianikwa juu ya paa.Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu...
View ArticleYANGA KUONDOA MACHUNGU YA KUSHUSHWA KWENYE NDEGE KWA AZAM KESHO
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, wenyeji timu ya Azam FC watawakaribisha Mabingwa wapya...
View ArticleKONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE
Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha...
View Article37 WAKAMATWA DODOMA KWA KUZUIA NA KUSHAMBULIA WATU WALIOKUWA WAKITOA HUDUMA...
Kufuatia mgomo wa madereva wa magari ya abiria ulioanza tarehe 04/05/2015, Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma SACP D.A.MISIME amesema, “ watu 37 wamekamatwa katika mitaa ya Nkuhungu na Chadulu Manispaa...
View ArticleMGOMO WA MABASI UBUNGO LEO HII
Ghafla likazuka tukio la kurushwa mawe kutoka kwa watu wasiojulikana waliokuwa nje ya Stendi hiyo na kupeleke watu wote waliokuwa kwenye eneo hilo kukusanyika sehemu moja ili kujinusuru. Hali ilikuwa...
View ArticleTFF YAITAKA COASTAL UNION KUITISHA MKUTANO WA DHARULA
Afisa Habari wa Coastal Union, Assenga OscarKUFUATIA vikao vya maridhiano ya Uhakiki wa wanachama wa Klabu ya Coastal Union ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini...
View ArticleWAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI (RITA) YASAJILI NA KUTOA VYETI 5,081...
Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling'ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa...
View ArticleSHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI ZILIVYOFANA MJINI MUSOMA
Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo. Baadhi ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma...
View ArticleAirtel yakabidhi vitabu vya sayansi kwa Shule ya Sekondari ya King'ongo Dar...
Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi akionyesha sehemu ya vitabu kabla ya kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya milioni 4/-, kupitia Mradi wa...
View ArticleKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI ANSI MMASI ATOA MSAADA KWA WALIOATHIRIKA NA...
Kada wa Chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akikabidhi msaada wa Chakula kwa afisa tarafa,Eveline Mmary ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya ya Moshi .Afisa Tarafa wa Kilimanjaro...
View ArticleERNEST AND YOUNG RELEASES 2014 ACACIA MINING INVESTMENT AND ECONOMIC...
Ernest and Young (EY), Country Managing Partner, Joseph Sheffu, presents EY 2014 report on Acacia Mining Investment and Economic Contribution in Tanzania, at a News Conference in Dar es Salaam’s Serena...
View ArticleMREMA ALILIA ARDHI WALIYOPORWA WANANCHI WAKE JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO
Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu mgogoro wa ardhi katika Kijiji cha Himo na Kiraracha dhidi ya familia ya...
View ArticleSALMA KHAN WA BOLLYWOOD ATUPWA JELA MIAKA MIATANO.
Mahakama Kuu ya India imemtupa jela miaka mitano Mwigizaji nguli wa Bollywood, Salman Khan baada ya kukutwa na hatia ya kusababisha vifo vya watu watano na kujeruhi wengine wanne na kukimbia katika...
View Article