BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA ISHIRINI WA WANAHISA JIJINI ARUSHA KESHO
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Crdb Dr,Charles Kimei akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha akitoa taarifa ya mkutano mkuu wa ishirini wa wanahisa wa Benki ya...
View ArticleNOOIJ AITA 10 KUTOKA AZAM KUUNDA KIKOSI CHA STAR KWENDA COSAFA
KIKOSI cha timu ya Azam FC ya jijini Dar es Salaam (pichani juu) kimeonekana kuwa nduio kikosi bora zaidi kwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij naada ya kuita wachezaji...
View ArticleBUSARA ZAHITAJIKA KWA MADEREVA WAWAPO BARABARANI
MGOMO wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani na daladala zifanyazo safari za ndani katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania ulimalizika juzi baada ya kudumu kwa saa 31.Mgomo huu ulimalizika kutokana na...
View ArticleEFM REDIO KUMPIGA TAFU JUMA NATURE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA YAKE 16 YA MUZIKI
Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Sebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert litalofanyika...
View ArticleProin Promotions in Belgium - Launching of Tanzania Films Online
Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johnson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania kupitia mtandao (online) hapo jana...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WA HUDUMA NA BIDHAA WAPANDA KWA ASILIMIA 4.5
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Gwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kupanda kwa mfumuko...
View ArticleMTEMVU ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MVUA TEMEKE ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR...
Mtemvu akiitembelea Nyumba ya Bi Mwashamba Mwandoro maeneo ya Kurasini, baada ya ukuta wa Nyumba kuanguka kutokana na Mvua zinazo endelea kunyesha Dar es Salaam na hapo akiongea akiwa katika nyumba...
View ArticleBASI LA DAR EX PRESS LAWAKA MOTO MCHANA WA LEO
Moshi ukifuka kufuatia ajali ya basi mali ya Kampuni ya Dar ex Press lenye namba za usajili T833 DDR likiwaka moto na kuteketea kabisa hii leo majira ya saa 7:30 mchana katika kijiji cha...
View ArticleMASAU BWIRE HUYOOOOO DARAJA LA KWANZA MSIMU UJAO
Huyu ni Mwalimu Massau Bwire msemaji wa timu ya Ruvu Shooting ya Mlandizi mkoani Pwani ambaye anaweza kushika rekodi ya msemaji wa klabu zilizoshiriki Ligi kuu msimu huu aliye na maneno mengi na...
View ArticleMAONYESHO YA KUUNGANISHA WAKULIMA NA FURSA ZA MITAJI YAFANYIKA WILAYANI BABATI
Kulia Mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi akiwa na Mgeni rasmi ndugu Athumani Karunde wakati wa kutembelea mabanda ya waoneshajiMgeni rasmi akipata taarifa za namna TAHA inavyofanya kazi ya...
View ArticleMANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE
Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa. Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na...
View Article“NIPO STUDIO” YA JENNIFER MGENDI KUACHIWA
Mtayarishaji wa filamu na mwimbaji wa siku nyingi Jennifer Mgendi anakusudia kuachia filamu yake ya “Nipo Studio” mapema wiki hii. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo imekamilika kwa...
View ArticleTaasisi ya Imetosha yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija Shinyanga.
Toka kushoto ni Kathrin Hoff, kijana Paulo, Masoud Kipanya na Balozi Henry Mdimu.Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha...
View ArticleCCM ARUSHA YATOA ONYO KWA WALIOTANGAZA NIA ARUSHA MJINI
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilayani Arusha,Feruz Bano akimkabidhi kitabu cha kanuni za uchaguzi wa CCM mgombea aliyetangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute jana...
View ArticleMZEE ALI HASSAN MWINYI AZUNGUMZIA KISWAHILI
Kiswahili inaaminika kuwa lugha asili ya Afrika inayozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara. Ni lugha ya taifa kwa nchi za Kenya na Tanzania na pia yazungumzwa kwenye nchi za Jamhuri...
View ArticleWAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA
Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini...
View ArticleUzinduzi wa Huduma Mpya ya MaxMalipo kwa kutumia Simu ya Kiganjani.
Mkuu wa kitengo cha Biashara Maxcom Africa Bw. Deogratius Lazari (Katikati) Akifafanua Jambo kwa waandishi wa habari ambao hawapo katika picha wakati wa Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutoa huduma za...
View Article