WAZIRI WA MEMBE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Membe akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani...
View ArticleTANZANITE YAKOSA SOKO HAPA NCHINI KUTOKANA NA WATANZANIA KUTOKUVAA MADINI HAYO
Kulia Mkurugenzi wa kampuni ya madini ya Moreshine Gibson A.Kilala akitoa maelezo kwa Waziri wa nishati na madini George Simbachawene hivikaribuni jijini Arusha mara baada ya Waziri huyo kutembelea...
View ArticleBENKI YA POSTA YAJIVUNIA UTENDAJI BORA KWA MWAKA 2014 ULIYOIPA FAIDA NONO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Kitewita Moshingi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza utendaji wa benki hiyo kwa...
View ArticleNYOTA FC NDIO MABINGWA WA NDONDO CUP ARUSHA
Naibu Meya wa Jiji la Arusha Prosper Msofe akiwa na watangazaji wa Redio 5 arusha,wa kwanza kushoto Hilda Kinabo,Mwangaza Jumanne na Akida Kilango wakifuatilia mashindano ya ndondo Cup yaliyoandaliwa...
View ArticleACACIA YZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE 510 WA MGODI WA BULYANHULU
Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ulioko wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, wakimshangilia Meneja Mkee wa mgodi huo, baada ya kumpatia zawadi ya Meneja bora wa mwaka ambaye wao wenyewe...
View ArticleUZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE SONGEA MKOANI RUVUMA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa uhuru leo mjini Songea katika Uwanja wa Majimaji ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi wa mbio za...
View ArticleCLOUDS, ITV/RADIO ONE, ALLIANCE INSURANCE NA PETROFUEL WANYAKUA TUZO ZA SUPER...
Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce...
View ArticleLAPF YAIWEZESHA WAALIMU SACCOS WILAYANI RUANGWA KWA KUIPATIA MKOPO WA...
Mkurugenzi wa halmshauri ya wilaya ya Ruangwa, Nicholous Kombe (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni 100 kwa Mwenyekiti wa WAALIMU SACCOS ya Ruangwa, Hamisi Malunga (kushoto)...
View ArticleWAKUU WA TAASISI ZA TAKWIMU WA NCHI ZA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) nchini Tanzania Dkt.Albina Chuwa akifungua Kongamano la Kimataifa kuhusu Uongozi na utawala la wataalam na Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi za...
View ArticleOWM YAIBUKA NA MAKOBE YA USHINDI MEI MOSI-MWANZA
Kiongozi wa Nidhamu wa Timu za Michezo Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Samwel Mwashamba pamoja na baadhi ya wavuta Kamba wakifurahia makombe ya ushindi waliyojinyakulia wakati wa Michuano ya michezo ya Mei...
View ArticleMwandishi wa habari mkongwe afariki dunia
Mwandishi wa habari mkongwe Kyaloeichi Oko Kessy (62) amefariki usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake Pugu jijini Dar es Salaam. Mpwa wa marehemu Tumaini Msengi alisema leo kuwa marehemu alikuwa...
View ArticleMJASIRIAMALI WA VYAKULA VYA MIFUGO AJISHINDIA PIKIPIKI YA STARTIMES
Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif (kulia) akimuelekeza mshindi wa droo ya tatu ya mwezi wa Aprili, Mary Luis Tumsifu, mfanyabiashara wa vyakula vya mifugo na mfugaji pia,...
View ArticleMEI MOSI 2015:WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya daily News, Sunday News, HabariLEO, HabariLEO Jumapili na Spotileo wakishiriki katika maandamano ya siku ya wafabnyakazi...
View ArticleWEMA SEPETU KUITIKISA MAWE YA MWANZA KATIKA INSTAGRAM PARTY KESHO
WAKATI leo jijini Dar es Salaam kunafanyika pati la ALL WHITE PARTY iliyo andaliwa na Mwanadada Zari kutoka Uganda akishirikiana na Rafiki yake, Nassib Abdul 'Diamond' kule jijini Mwanza nako kesho...
View ArticleMAKABIDHIANO YA PAMPU YA MAJI KABURI KIKOMBE NA UTILIANAJI SAINI YA MRADI WA...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk Mustafa Ali Garu akitiliana saini ya makubaliano ya Mrai wa Uchimbaji wa Kisima katika maeneo ya Bamani na Mwenyekiti wa Tanzania Youth Icon, Ndg...
View ArticleUTT-PID ya Wizara ya Fedha yashiriki maonesho ya Dar Property 2015
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick (katikati), akipata maelezo toka kwa banda la UTT-PID juu ya Miradi wanayofanya katika mikoa mbalimbali nchini, kulia ni Uli Mtebe Afisa Mwandamizi...
View ArticleZARI ALL WHITE PARTY KATIKA PICHA
Kijana Nassib Abdul maarufu kama Diamond Plutnumz akiwasili na mpenzi wake Zari katika Hafla iliyopewa jina “Zari All White Party” iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam...
View Article