WATIA NIA CCM WAJINADI MBELE YA LOWASSA
Aliyewahi kuwania jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM Sioi Sumari akijinadi mbele ya Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha Edward Lowassa katika harambee ya kuchangia...
View ArticlePARTY YA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASSA YAFANA ARUSHA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robart Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa...
View ArticleBURIANI SAMUEL CHAMLOMO WA TBC DODOMA
Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya...
View ArticleDCB YA WAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE
Wafanyakazi wa Benki ya DCB tawi la Ukonga, jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi pamoja na viongozi wengine wa Beki hiyo baada ya...
View ArticleSELCOM YAWEZESHA MALIPO YA PANGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) KWA NJIA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika...
View ArticleLOWASSA NA PINDA USO KWA USO BUNGENI MJINI DODOMA LEO
"Kakaaaa ni wewe au Mimi mwaka huu..." Ni kama Pinda na Lowassa nateta juu ya Uchaguzi Mkuu 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo na Waziri Mkuu, Mstaafu, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la...
View ArticleRAIS NYUSI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi...
View ArticleWILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa uzinduzi wa mradi...
View ArticleRais Kikwete afungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015Rais...
View ArticleWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akiwa amebeba ndoo ya maji kichwani alipokuwa akikabidhiwa visima 33 vilivyochimbwa kwa msaada wa Watu wa Falme za Kiarabu na Balozi wa...
View ArticleSHERIA MPYA YA TAKWIMU KUONGEZA UFANISI WA SHUGHULI ZA KITAFITI NA...
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu ujio wa sheria mpya ya Takwimu ya mwaka 2015 iliyopitishwa na Bunge Mwezi Machi mwaka huu...
View ArticleNAPE AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akitoa maelezo ya taarifa zake muhimu wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa Afisa Mwandikishaji Msaidizi Shaibu Chitala...
View ArticleHUYU NDIO PIERRE NKURUNZINZA
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameonekana akicheza mpira pamoja na marafiki zake mjini Bujumbura licha ya mgogora wa kisiasa nchini mwake.Rais Nkurunziza,alikuwa akisakata kabumbu ndani ya mji mkuu...
View ArticleWAFANYABIASHARA WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KWA SAA SITA KUPINGA KUBOMOLEWA...
Wafanyabiashara walemavu wakiwa wamekaa katikati ya makutano ya barabara za Uhuru na Kawawa na kufunga barabara hiyo wakipinga kubomolewa vibanda vyao na Halmshauri ya Manispaa ya Ilala Dar es Salaam...
View ArticleMWANASIASA MKONGWE AZUNGUMZIA MAKUNDI YA URAIS NDANI YA CCM
Pichani ni mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombare. Mwanasiasa mkongwe nchini,Kingunge Ngombare Mwiru ametamka ya kwamba Chama Cha Mapinduzi(CCM) kamwe hakiwezi kuepuka makundi ya urais kupitia chama...
View ArticleCWT KUFANYA UCHAGUZI MKUU MAY 28
Naibu Katibu Mkuu wa chama cha walimu Tanzania (CWT) Ezekiah Oluoch akizungumza juu ya Uchaguzi Mkuu wa chama hicho kitaifa utakaofanyika Mei 28 katika mkutano Mkuu wa chama hicho utakaofanyika Mei 25...
View ArticleSTAND UNITED YAWASHUKURU WADAU WAKE
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati...
View ArticleWAJUMBE WA KAMATI KUU WAKIJIANDAA NA KIKAO MJINI DODOMA MUDA HUU
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mhe. Zakhia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati...
View ArticleWAONESHA NIA YA URAIS CCM SASA WAPO HURU NI LOWASSA, MEMBE, MAKAMBA, SUMAYE,...
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(kushoto), Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula(kulia) na katibu...
View Article