CCM YAITAKA SERIKALI KUSHAURIANA NA TUME YA UCHAGUZI JUU YA KURA YA MAONI...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti leo kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma, tarehe 23 Mei 2015....
View ArticleNYALANDU AKAGUA MADHARA YA MAMBA MLA WATU MASASI
Diwani wa Nhavila, wilayani Masasi Meja Ramadhan Chilumba akimsaidia Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupanda kingo za mto, alipotembelea mto Ruvuma mpakani na Msumbiji kutoa kifutajasho...
View ArticleRATIBA YA MCHAKATO WA KUMPATA RAIS CCM
Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma yanavyoonekana kwenye picha wakati wa vikao vikubwa vya Chama.Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
View ArticleFamilia ya mtoto aliyegongwa na fuso na kukatwa miguu anaomba msaada wa kisheria
Naibu Kamanda wa UVCCM ,Innocent Melleck akiwa na mama mzazi wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima mara baada ya kukabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa ajili ya kusaidia kutoka eneo moja hadi...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA...
Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania ulioanza Mei 25-27, 2015 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam. Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Wizara kufikia...
View ArticleACACIA HONOURS IT'S DAR OFFICE EMPLOYEES FOR LONG SERVICE
Acacia’s top leadership,DeoMwanyika, (First-L), Peter Gelete, (2rd-L), Andrey Wrey, (3rd-R), Asa Mwaipopo, (2nd-R), and Janet Reuben Lekashingo, (First-R), pose for a group photo with two awards’...
View ArticleUNFPA WAKABIDHI MSAADA WA GARI LA WAGONJWA, JENGO NA VIFAA VYA UPASUAJI GEITA
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua gari la wagonjwa (Ambulance) lenye thamani ya Tsh. Milioni 80 kwa ajili ya...
View ArticleLOWASSA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI DODOMA LEO
Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari ya matumaini. Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa...
View ArticleTANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani...
View ArticleWAISLAMU WAMETAKIWA KUJIANDAA VYEMA NA MWEZI MTUKUFU
Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk(kushoto) akiwa katika swala iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika msikiti wa msikiti wa Alsahaba ulioko eneo la Morombo jijini...
View ArticleHATMA YA CCM IPO MIKONONI MWA VIJANA
Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi kupiga picha na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Kila mwanafunzi alipenda apate ukumbushokwa kupiga picha na na Katibu wa NEC Npe...
View ArticleNYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA...
Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge Social Research Centre, George Nyaronga (katikati), akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu...
View ArticleAKI NA UKWA WA BONGO WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWENYE TASNIA YA FILAMU
Kushoto ni Meya Shabani a.k.a Aki akiwa na Mwenzake Nicholaus Ngoda a.k.a Ukwa nje ya ofisi yao Aki na Ukwa wa Bongo wakipiga kazi ... Hapa wakionesha upande mwengine wa ofisi yao ya International Film...
View ArticleMAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI
Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.Katika Nyumba (Msikiti) huu ,...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI JIJINI DAR ES...
Mhe. Rais Kikwete akizungumza huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) pamoja na Katibu Mkuu wa Mambo...
View ArticleBENKI YA CRDB YAKABIDHI HUNDI YA SH. MILIONI 20 KWA MEYA WA KINONDONI
Meya wa Manispaaya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei muda mufupi kabla hajakabidhi hundi ya sh. milioni 20 baada ya...
View ArticleWAZIRI WA KAZI NA AJIRA ,MH;GAUDENSIA KABAKA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA...
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa NHIF,Michael Mhando na kulia...
View Article