REGINA LOWASSA AZIDI KUSHIKA KASI YA KUMNADI MUMEWE
Mke wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mama Regina Lowassa akihutubia mkutano wa hadhara wa kumuombea kura mumewe Edward Lowassa katika mji wa Biharamulo...
View ArticleLOWASSA HAKAMATIKI AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA MULEBA
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo, uliofanyika kwenye...
View ArticleTPB YAKADIDHI JENGO LA KITUO CHA AFYA PEMBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud (Wanne kushoto waliokaa), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Posta Tanzania, TPB, Profesa Litice Rutashobya, (watatu kushoto),...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 8 YA BABA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU NA BIRTHDAY YA...
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) Mroki Mroki-Father Kidevu Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika nane sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan...
View ArticleMGOMBEA MWENZA CCM AFANYA KAMPENI MIKINDANI NA MAFIA
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba17, 2015, katika mji mdogo wa Mikindani mkoani...
View ArticleBARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na...
View ArticleMENGI AZINDUA KAMPUNI YA UJASIRIAMALI YA WANAWAKE VOWET JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizindua Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini lililofanyika jijini Dar...
View ArticleLOWASSA APELEKA MABADILIKO BUKOBA
Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
View ArticleAIRTEL FURSA YAWAWEZESHA WAFUGA NYUKI WA MBEYA
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akiwakabidhi wawakilishi wa kikundi cha MIRANACO mjini Mbeya vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia katika biashara yao ya ufugaji wa...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC siku ya Alhamisi...
View ArticleMKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KUANZA...
Mkurugenzi wa Maendeleo wa Don Bosco Tanzania ,Celestine Kharkongor (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Don Bosco Oyterbay jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano huo na...
View ArticleMANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE ZA KUWANIA UDIWANI MBAGALA DAR ES SALAAM
Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo. Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha...
View ArticleMAGUFULI AFAYNYA MKUTANO WA KAMPENI CHATO
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya...
View ArticleHOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA
Washiriki wa Jogging iliyoandaliwa na kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge jijini Dar es Salaam kilichopo chini ya Andrew Mangomango (kulia) kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa mazoezi kwa...
View ArticleSIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
View ArticleTAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE...
Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Sensation, Lilliane Masuka (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Tamasha la Fahari ya...
View ArticleUTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)Wizara ya Maliasili na Utalii...
View ArticleNYALANDU AZINDUA KAMPENI KATA YA MTINKO
WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa...
View ArticleMALINZI AFUNGA FAINALI ZA AIRTEL RISING STARS
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi jana amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa...
View Article