TWAWEZA: CCM NDIO CHAMA KINACHOPENDWA ZAIDI
Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea –...
View ArticleAGGREY&CLIFFORD YATOA MSAADA WA MADAWATI SHULE YA MBUYUNI
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa madawati na vifaa vya elimu kwa ajili ya shule ya msingi Mbuyuni kutoka kampuni ya...
View ArticleWANAOWAFICHA WATOTO WALEMAVU NCHINI WASHUGHULIKIWE
Meneja msaidizi wa kituo cha walemavu cha Usa River Rehabilitation Centre,Sophia Moshi akibadilishana mawazo na meneja mkuu wa kituo hicho,Claus Heim.************* Mahmoud Ahmad,ArushaSerikali imeombwa...
View ArticleMISS TANZANIA YAFUNGUA PAZIA LA WANAOTAKA UWAKALA 2016
Kamati ya Miss Tanzania inapenda kuwatangazia wadau wote wanaotaka kuandaa Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwa mwaka 2016 kutuma maombi yao ya uwakala kuanzia sasa hadi tarehe 30 Novemba 2015...
View ArticleMBIO ZA RIADHA ZA MOUNT MERU MARATHON KUTIMUA VUMBI OCTOBA 4 ARUSHA
Na Woinde Shizza,ArushaBaada ya kutokuwepo kwa mbio za riadha zijulikanazo kama mount meru Marathon kwa miaka 15 sasa ,hatimaye wadau wa mchezo wamjitokeza na kurudisha mbio hizo ambazo zinatarajiwa...
View ArticleJAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu,...
View ArticleMALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA...
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi...
View ArticleSTAR TIME MEDIA WADAHAMINI LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL)
Kampuni ya StarTimes Media ya jijini Dar es salaam leo imeingia mkataba wa udhamini na TFF kudhamini Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) inayoshirikisha timu 24 kutoka katika mikoa 16 ya Tanzania...
View ArticleLOWASSA ASIMAMISHA MJI WA MASASI LEO
Mgombea wa Ubunge anaekubalika na wananchi wa Masasi kupitia Mwamvuli wa Chama cha Wananchi CUF, Ismail Makombe (Maarufu Kundambada), akizungumza machache na wananchi hao waliofurika kwa wingi kwenye...
View ArticleAFISA MTENDAJI MKUU WA SHEAR ILLUSIONS AFRICA AWATAKA WANAWAKE KUDHUBUTU
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Africa Ambao ni wazalishaji wa Bidhaa za Luv Touch Manjano Mama Shekha Nasser (Kushoto )Akimkabidhi Cheti Mshiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali Hafla iliyofanyika...
View ArticlePAPA FRANCIS AWASILI MAREKANI NA ASTAAJABISHA WATU KWA KUTUMIA GARI DOGO AINA...
NIZIARA ya kwanza ya kihistoria kwa kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kuzuri Marekani tangu achaguliwe kushika wadhifa huo. Papa Francis mwenye umri wa miaka 78, ameingia nchini...
View ArticleMJUMITA WASHINDA TUZO YA MAZINGIRA YA UN
Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP), Helen Clark (kushoto) akiwa na Mcheza senema maarufu na mwanaharakati wa Mazingira, Alec Baldwin (katikati) na Mkewe, Hilaria Thomas wakati...
View ArticleVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA...
Mratibu wa Veta kanda ya Dar es Salaam Bi. Frorence Kapinga akiwakaribisha wakuu wa vyuo vya ufundi vyenye usajili wa awali wa VETA kanda ya Dar es Salaam kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa...
View ArticleKIKWETE AWAPA ZAWADI YA IDD MAHABUSU YA WATOTO ARUSHA
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha,Addoh Mapunda(wa pili kulia)kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi za Idd el Hajj Meneja wa Mahabusu ya Watoto mkoa wa...
View ArticleKUZIONA SIMBA Vs YANGA 7000/-
Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ni...
View ArticleCCM YAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MDAHALO NA UTAFITI WA TWAWEZA.
Januari Makamba, Mjumbe wa NEC na Kamati ya Kampeni ya CCM
View ArticleAIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO
Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) na Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki wakionyesha bango kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kama ishara ya kuzindua huduma...
View ArticleMAGUFULI AFANYA KAMPENI GEITA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa shule ya...
View ArticleLINDI WAO NI LOWASSA NA UKAWA TU
Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye...
View ArticleDKT FENELA MUKANGARA AAHIDI KUWAINUA KIUCHUMI WANANCHI WA KIBAMBA
Dkt Fenela Mukangara akizungumza na wana saccos wa kata ya MsiganiSehemu ya akina mama wa Msigani wakimsikiliza Dkt Fenela MukangaraDkt Fenela Mukangara akiagana na akina mama wa kata ya Msigani...
View Article