GLOBAL EDUCATION LINK YASAFIRISHA 70 KWENDA MASOMONI CHINA
Mapema jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa...
View ArticleSWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR...
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd...
View ArticleSerikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka...
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kilindi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa...
View ArticleWAZIRI WA UTUMISHI CELINE KOMBANI AFARIKI DUNIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celine Kombani (56),amefariki dunia hii leo nchini India .Kombani alipitishwa na Chama cha...
View ArticleNKONE, LISSU, MWANGILA WAAHIDI MAKUBWA TAMASHA LA AMANI DAR
Mwenyekiti wa maandalizi ya Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwimbaji wa...
View ArticlePPF YAVUNA WANACHAMA WAPYA KWENYE WIKI YA WAFANYAKAZI WA AIRTEL
Mfanyaakzi wa Airtel, (kulia), akijaza fomu ya kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (Wote Scheme), wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa ufunguzi wa wiki ya Wafanyakazi wa Airtel, makao makuu ya...
View ArticleGHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye...
View ArticleSAMIA AFANYA KAMPENI MOROGORO
Mgombea Mwenza wa Urais kwa kiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Udiwani Kata ya Mlali Frank Mwanaziche katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mvomelo mkoa wa...
View ArticleTHALASSAEMIA – UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA
Na Mwandishi Wetu, Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri...
View ArticleMKUU WA MAJESHI CDF JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE YU BUHERI WA AFYA NA YUPO...
UZUSHI KUHUSU AFYA YA MKUU WA MAJES KUMEKUWAPO UVUMI WENYE KUUPOTOSHA UMMA KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NCHINI AMENUSURIKA KIFO BAADA YA KUWEKEWA SUMU KATIKA CHAKULA NA HIVI SASA AMELAZWA KATIKA...
View ArticlePOLISI DODOMA YASHIKILIA 10 AKIWEMO MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA DODOMA MJINI
Benson Kigaili Singo, Mgombea Ubunge Dodoma Mjini -CHADEMA
View ArticleMWILI WA WAZIRI KOMBANI WAREJESHWA NCHINI
Mwili wa aliyekuwa Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celina Ompeshi Kombani umerejeshwa nchini hii leo na kupokelewa na watu mbalimbali wakiwepo...
View ArticleTOTTENHAM 4-1 MANCHESTER CITY
Harry Kane akishamngilia bao lake la kwanza kwa msimu huu dhidi ya Manchester City VINARA wa Ligi Kuu ya Ungereza Manchester City leo wamekumbwa na kizaza zaa baada ya kukubali kichapo kutoka kwa...
View ArticleYANGA YAFUTA UTEJA KWA SIMBA YAICHAPA 2-0 TAIAFA
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga ya Dar es Salaam yenye maskani yake mtaa wa Jangwani leo imefuta rasmi uteja wake kwa Simba.Yanga imefuta uteja huo baada ya kuwachapa watani wao hao wa jadi bao...
View ArticleLOWASSA AMNADI MBOWE JIMBO LA HAI LEO
MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Chadema, jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, ambaye...
View ArticleRAIS KIKWETE MGENI RASMI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandali ya Tamasha la kuombea Amani na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, wakati akimtangaza Rais Jakaya Kikwete kuwa...
View Article