Flaviana Matata aendelea kuitoa kimasomaso Tanzania, Afrika na Kimataifa
Na Mwandishi WetuNYOTA ya mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata amezidi kung’ara baada ya kuingia katika orodha ya wanamitindo saba bora kwa upande kipato.Kwa mujibu wa gazeti la...
View ArticlePush Mobile kumwaga vitz 4, pikipiki 12 Serengeti Fiesta 2013
KAMPUNI ya Push Mobile Media Limited itatoa zawadi za magari aina ya Vitz manne (4) na pikipiki 12 kwa mashabiki mbali mbali watakaoshinda bahati nasibu maalum ya tamasha la Serengeti Fiesta...
View ArticlePONDA ALAZWA MUHIMBILI- POLISI WATOA TAMKO
Sehemu ya kodonda katika bega la Sheikh Ponda baada ya kushinwa nyuzi. Katibu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akiwa katika Wodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akitibia jeraha...
View ArticleTamasha la Afrika lafana Marekani
Nene Mtanzania aliyeongoza kamati ya maandalizi akijivunia kazi yake. Fashion ya mavazi ya Afrika. Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
View ArticleSHINING THE SPOTLIGHT ON FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT
Shining the Spotlight on Linda BezuidenhoutLinda Bezuidenhout (LB) is a fashion designer who is based in Atlanta, USA. Linda has been involved in fashion industry for over 20 years, in Africa, Europe...
View ArticleDAR LIVE YACHENGUA NA EXTRA BONGO, TOT IDD PILI
Ally Choki na mnenguaji wake wakionyesha ‘machejo’.Aziza Kimsi wa TOT Taarab akiimba. Wanamuziki wa TOT wakiimba. Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki, akiimba wimbo wa Mtenda Akitendewa. Wanamuziki wa...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAFANYA UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA KIBO.
Meneja Miradi endelevu na uwajibikaji kampuni ya bia ya Serengeti Nandi Mwiyombela (Katikati), Meneja wa mauzo wa kanda ya kaskazini Patrick Kisaka (kushoto) na Attu Mynah (kulia) kutoka idara ya...
View ArticleREDD’S MISS ILALA 2013 KUFANYIKA AGOSTI 16 GOLDEN JUBILEE DSM
Warembo wanaotarajia kushiriki Redd’s Miss Ilala, wakiwa wamepozi wakati wa mazoezi kwenye Mgahawa wa Billicanas, Dar es Salaam, tayari kwa mashindano yatakayofanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa Golden...
View ArticleWAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA MONTAGE WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID NA WANAFUNZI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage Tanzania Teddy Mapunda akiwagawia soda wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi ya...
View ArticleMASHINDANO YA MIJADALA YA SHULE ZA SEKONDARI MWANZA KUANZA SEPT. 2.
Mkurugenzi wa Stopper Entertainment, Mursin Mambo, akifafanua jambo kuhusiana na Mashindano ya Shule za Sekondari. Mashindano ya Mijadala kwa shule za sekondari mkoani Mwanza (Interschools Debate...
View ArticleRADIO 5 WAIBUKA WASHINDI WA KWANZA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI.
Wafanyakazi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 kushoto ni Semio Sonyo ,Sarah Keiya meneja masoko,katikati ni David Rwenyagira na Deo Gee wakifurahia kikombe cha ushindi...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WAKE
Kulia ni Meneja wa Duka la Airtel Mako makuu Bi, Happy John akiwa na mshindi wa zawadi ya shilingi milioni moja kwa wiki hii Bw, Rakesh Mawji akihesabu pesa zake mara baada ya kuzitoa kupitia...
View ArticleSHINDANO LA VIPAJI LA REDD'S MISS ILALA 2013 LEO
Warembo wanaotarajia kushiriki Redd’s Miss Ilala Talent hii leo, wakiwa wamepozi wakati wa mazoezi kwenye Mgahawa wa Billicanas, Dar es Salaam, tayari kwa mashindano yatakayofanyika Ijumaa kwenye...
View ArticleWAJUMBE WA KAMATI YA UHURU MARATHON WATAJWA
Waziri wa habari,Vijana,utamaduni na michezo Dr Fenella Mukangara akitangaza majina ya wanakamati aliowateuwa kuratibu mbio za uhuru mwaka huu nchini,Dkt Mukangara amewataja wajumbe hao kuwa ni Mkuu wa...
View ArticleCREDITINFO GLOBAL FORUM, PRAGUE, 18TH& 19TH SEPTEMBER 2013
Credit info is proud to present its first official Global Forum, to be hosted in the beautiful city of Prague. The Conference will bring together a number of influential specialists, practitioners and...
View ArticlePPF WAZUNGUMZIA SHUGHULI ZAO
UTANGULIZIMfuko wa Pensheni wa PPF ni Mfuko mkongwe hapa nchini, ulianzishwa mwaka 1978 kwa Sheria ya Mfuko wa Pensheni wa PPF Sura na. 372kwa madhumuni ya kutoa mafao ya pensheni na mafao mengine...
View ArticleRAIS KIKWETE AMTHIBITISHA ADAM MAYINGU KUWA MKURUGENZI MKUU WA PSPF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Adam H. Mayingu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF). Taarifa iliyotolewa...
View ArticleJK APATA JEZI NAMABA 10 YA BARCELONA
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam jana...
View ArticleMAKUMBUSHO WAFUZU MAFUNZO YA ULINZI SHIRIKISHI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kulia) akimkabidhi cheti, Mtendaji wa Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni , Husna Nando wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya...
View ArticleTRAFIKI FEKI ADAKWA AKILA VICHWA TABATA
Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa. Askari huyu feki...
View Article