PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI MOROGORO HII LEO ASOMEWA MASHITAKA 3.
Sheikh Issa Ponda Akiwa mahakamani mkoani Morogoro asubuhi ya leo Sheikh Ponda Amesomewa Mashtaka Matatu katika Mahakama ya mkoa wa Morogoro Likiwemo la uchochezi alilolitoa Kwenye Mkutano wa Hadhara...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Tuzo ya Ben TV Diplomatic Awards-2012 Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, na Mke wa Rais...
View ArticleMSTAHIKI MEYA WA ILALA MH. SILAA ATOA SOMO KWA VIJANA JINSI WANAVYOWEZA...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chimbo School of Thought ambaye pia ni mtangazaji wa redio Clouds na TV Harris Kapiga wakati...
View ArticleSERIKALI KUANZISHA MKAKATI KABAMBE WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
Serikali imeanzisha mkakati wa kutokomeza wimbi la tatizo la dawa za kulevya nchini kwa kudhibiti viwanja vya ndege na sehemu mbalimbali za mipakani zinazotuhumiwa kupitisha dawa za kulevya.Hayo...
View ArticleRAIS ATUNUKU HATI IDHINI KWA VYUO NANE NCHINI.
Na Immaculate Makilika- Maelezo.RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ametunuku hati Idhini kwa vyuo vikuu na vyuo vishiriki 8 baada ya vyuo hivyo kutimiza taratibu zote za...
View Article24 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA GAMBIA, TFF 'YAMREJESHA' KASEJA SIMBA
LICHA ya kuwa mlinda mlango wa namba moja wa Tanzania na nahodha wa timu ya Taifa, Taifa Stars Juma Kaseja kuwa ni mchezaji huru kwa sasa na bado hajapata timu ya ndani au ya nje ya nchi kulisakata...
View ArticleOPERESHENI YA KUONDOA WAHAMIJAI HARAMU KUANZA GHAFLA
NA MAGRETH KINABO – MAELEZOSERIKALI imesema kwamba operesheni ya kuwaondoa wahamiaji haramu katika Kanda ya Ziwa itaanza kwa ghafla, huku ikiendelea kusisitiza kwamba watu wanoaishi nchini bila...
View ArticleAirtel money, Hakatwi Mtu kuingia mtaani kwa kishindo
Wafanyakazi wa Airtel wanategemea kuiingiza rasmi promosheni ya Airtel money, Hakatwi mtu hapa kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kuanzia jumatano wiki hii.wafanyakazi wa kampuni ya...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA VICKY KITOSI (DOTTO)
FAMILIA ya Mzee Augustino Mgonja wa Pugu Kajiungeni Dar es Salaam na Familia ya Marehemu Bwana na Bibi Henry Kitosi (Mwakitosi) wa Iringa zinasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao, VICTORIA KITOSI...
View ArticleWAKULIMA WA SHAYIRI BABATI WANUFAIKA NA MSAADA WA PEMBEJEO ZA TBL
Mhasibu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Octaty Minja (kushoto), akioneshwa na mkurugenzi wa kampuni ya Agric Evolution inayomiliki shamba la kuzalisha shayiri katika Kijijicha Sigino, Kata ya...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM KUKUTANA KESHO
Kamati Kuu ya CCM Taifa itakutana tarehe 23.8.2013 ikifuatiwa na Halmashauri Kuu keshokutwa asubuhi ambapo itakuwa kwa siku mbili.Ajenda Kuu ya Kamati Kuu itakuwa kujadili maoni ya wana CCM juu ya...
View ArticleGURUMO ASEMA KUIMBA SASA BASI
Na Jennifer Chamila, Maelezo.MWANAMUZIKI mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma Mzee Muhidin Gurumo amestaafu rasimi kazi ya muziki alioifanya kwa muda wa miaka 53.Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
View ArticleTWANGA PEPETA,ROMA MKATOLIKI KUPAMBA TAMASHA LA WAFANYA MAZOEZI LA VITA MALT...
Mkufunzi wa kimataifa wa maswa ya mazoezi ya viungo bwana SAAS akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya tamasha kubwa linalowakutanisha wafanya mazoezi kote nchini na familia zao...
View ArticleWAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA 2013 WAINGIA KAMBINI HII LEO
Warembo 30 wa Redd's Miss Tz wakiwasili katika kambi ya Taifa ya warembi hao kwenye Hotel Ya Giraffe Ocean View jijini Dar Es Salaam ambapo warembo 30 wataanza kambi hiyo Leo,Katikati ni Mkurugenzi wa...
View ArticleBIG BROTHER: THE CHASE IS OVER AS DILLISH TAKES HOME USD300 000
Namibia’s Dillish emerged victorious on Big Brother: The Chase tonight (25 August) after 91 days in the Big Brother house. She won more viewer votes than Beverley, Melvin, Elikem and Cleo in the final...
View ArticleHALMASHAURI KUU YA CCM YAMALIZA KIKAO LEO
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakhia Megji akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mama Salma Kikwete katika ukumbi wa NEC, kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmashauri Kuu...
View ArticleKUTOKA VIKAO VYA CCM DODOMA: SIXTUS MAPUNDA ACHUKUA MIKOBA YA SHIGELA UVCCM,...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Agosti 26, 2013 mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza...
View ArticleMISS ILALA 2013 ADHAMIRIA KUNYANYUA ELIMU NCHINI, AKABIDHI VITABU SHULE YA...
Miss Ilala 2013 Doris Mollel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi na walimu wa shule ya msingi Tabata Jika baada ya kukabidhi Vitabu shule hapo.Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi...
View ArticleRAIS KIKWETE WA TANZANIA AMUAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IKULU LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. Jaji Mutungi ameapishwa baada ya kuteuliwa na Rais hivi karibuni kushika...
View Article