MDAU BEN MWANYIKA ALAMBA CHUO CHA NONDO USIU NAIROBI
Mdau Ben Mwanyika na wazazi wake baada ya kuchukua nondoz katika Chuo cha USIU Nairobi jana Jumamosi.
View ArticleDK. STERGOMENA TAX WA TANZANIA AWA KATIBU MTENDAJI WA SADC
Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamemteua Dkt. Stergomena Tax wa Tanzania kuwa Katibu Mtendaji mpya wa Jumuia hiyo. Wakuu hao wamemteua Dkt. Tax jioni ya leo,...
View ArticleRAIS BANDA WA MALAWI AMFAGILIA RAIS KIKWETE KWA KUDUMISHA AMANI NCHI ZA SADC
Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mheshimiwa Joyce Banda (pichani kulia) amemwelezea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kama mwanademokrasia na kiongozi hodari...
View ArticleMAAZIMIO 22 YA MAFUNZO YA KAMATI ZA BUNGE ZINAZOSIMAMIA FEDHA ZA UMMA NA...
1) Kutokana na kutokuwepo na taarifa sahihi kuhusu deni la Taifa kuna umuhimu wa kukutanisha wadau wakuu wanaohusika hususani BOT, HAZINA, Kamati za Bunge na CAG ili kuweza kujua kwa usahihi zaidi...
View ArticleLEAH SIMBA ASHUSHA 'JINSI ULIVYO' NDANI YA BONGO FLEVA
MWANA dada machachari kutoka visiwani Zanzibar ambaye ameamua kuingia katika anga ya muziki wa Kizazi kipya, Leah Simba ameshusha mtaani wimbo wake wa kwanza na mpya unaoenda kwa jina la Jinsi...
View ArticleMAJAMBAZI YADAKWA TAZARA HII LEO
Majambazi wakamatwa hii leo mchana Tazara wakikimbia baada ya kupora fedha Milioni kadhaa.
View ArticleBI SITI HAMAD KHAMIS ANAOMBA MSAADA ATIBIWE FIGO
BIBI Siti Hamad Khamis ambaye anasumbuliwa na ugojwa wa figo ambazo zimeshindwa kufanyakazi anaomba msaada kutoka kwa wasamaria wema utakaomuwezesha kutibiwa. Amelazimika kuomba msaada wa hali na...
View ArticleKATIBU MTENDAJI MPYA WA SADC DKT.STERGOMENA TAX APONGEZWA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dkt.Stergomena Tax wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi leo kikao hicho...
View ArticleIGP MWEMA AKABIDHI UENYEKITI WA SARPCCO NCHINI NAMIBIA.
Mkuu wa Jeshi la Polisi la Tanzania IGP Said Mwema akimkabidhi kitara Mkuu wa Jeshi la Polisi la Namibia Luteni Jenerali Sebastian Ndeitunga kama ishara ya kumkabidhi uenyekiti wa Shirikisho la wakuu...
View ArticleCASTLE LAGER KULETA MAKOCHA KUTOKA KWA WAKALI WA KATALUNYA, FC BARCELONA!!
Balozi wa Hispania nchini, Luis Manuel Ceuesta Civis (kushoto), Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Robin...
View ArticleTUSKER PROJECT FAME IMERUDI TENA!
Meneja wa bia ya Tusker Lager Sialouise Shayo akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya New Africa wakati wa uazinduzi wa Tuker Project Fame 6 uliofanyika leo jijini Dar es salaam kutoka...
View ArticleHUDUMAYAMAWASILIANOYA VODACOM YAREJESHWA.
Baada ya kukosekana kwa huduma za mtandao wa Vodacom kwa takribani masaa 16, huduma hizo zimerejeshwa katika hali yake ya kawaida asubuhi ya Jumamosi ya Agosti 17. Akizungumzia tatizo lililosababisha...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI FUNGUO YA NYUMBA YA KWANZA IRINGA
Meneja wa Airtel mikoa ya kusini Beda Kinunda (kulia) akimkabidhi funguo ya nyumba mshindi wa nyumba ya kwanza ya Airtel Yatosha mkazi wa Frelimo mjini Iringa, Sylivanus Wanga wanaoshuhudia...
View ArticleUSAILI WA KUTAFUTA MODELS WATAKAOSHIRIKI KWENYE ALLY REHMTULLAH 2014...
Meza kuu ya Majaji walioshiriki katika Usaili ya kutafuta Models watakaoshiriki kwenye Ally Rehmtullah 2014 Collection Fashion show kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Alliance Autos, wakala wa Volkswagen...
View ArticleWARSHA YA WIKI MOJA KWA REDIO ZA JAMII NCHINI KATIKA KUTEKEKELEZA MRADI WA...
Afisa Mipango Taifa wa Kitengo cha Mawasiliano na Habari na mratibu wa miradi ya UNESCO Yusuph Al-Amin asikiliza maoni wakati akiendesha mjadala wa namna ya ku-brand mradi wa Demokrasi na Amani (DEP)...
View ArticleMpango wa Taifa wa Damu salama wavuka lengo
Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Bw. Rajab Mwenda akizungumza na waandishi wa habari jana kutoa takwimu za makusanyo ya damu kwa mwezi Aprili mpaka Juni mwaka huu ambapo...
View ArticleBONDIA IDDY MNYEKE AMTWANGA MWALIMU ALONI KWA POINTI
Bondia Sadick Momba kushoto akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa momba alishinda K,O raundi ya kumi.Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke...
View ArticleFORTUNATA MASHINJI AHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE.
Fortunata akimlisha keki rafiki yake Scola Keki ya Fortunata ambayo ilikuwa maalumu kwenye siku yake ya kuzaliwa ambayo alikula pamoja na wafanyakazi wenzake wa LAPF ,Dodoma. Wakati wa kugonga glasi...
View ArticleTAMASHA LA KILI MUSIC AWARD WINNERS TOUR MWANZA
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Fleva),Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika...
View ArticleVIONGOZI DECI JELA MIAKA 3 AU FAINI MILIONI 21 KILA MMOJA
SHERIA imewatia hatiani viongozi 4 kati ya 5 wa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) iliyokuwa ikijihusisha na shughuli za kuvuna na kupanda fedha nchini kinyume cha...
View Article