UZINDUZI WA RIPOTI YA UWEZO
Msanii Mrisho Mpoto akielezea kupitia mashairi Mama Zaida Mgalla akitoa ufafanuzi kwa ripota wa Uwezo TV Bi. Melania Mhagama Mgeni Rasmi akionyesha ripoti baada ya kuzindua.Wakati ambapo asilimia 100...
View ArticleNAPE ARIDHIKA MAWAZIRI KUWAJIBISHWA
NA BASHIR NKOROMOKATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye amesema amepokea kwa faraja kubwa, hatua ya mawaziri wanne kuenguliwa nyadhifa zao kwa ridhaa ya Rais Jakaya Kikwete."Najisikia...
View ArticleWADAU MBALIMBALI WALA NONDO CHUO KIKUU MZUMBE TAWI LA DAR ES SALAAM JANA
Karani wa fedha wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Leah Amani (kulia) ambaye amehitimu Shahada ya Uzamili katika Sayansi (Uhasibu na Fedha) akipongezana na mhitimu mwenzake wa Shahada ya...
View ArticleBONANZA LAMTIMUA KOCHA WA YANGA
Leca Kimaro, wa Sufiani Mafoto DARIKIWA ni siku mbili tu baada ya kufungwa na mahasimu wao Simba mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa Nani Mtani Jembe kwenye Uwanja wa Taifa, Klabu ya Yanga SC ya...
View ArticleREDDS MISS TANZANIA 2013 KULA X MASS NA YATIMA WA MGOLOLE MOROGORO.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa, tarehe 25 Desemba 2013 atajumuika na watoto yatima wa kituo cha Mgolole Orphanage kilichopo Bigwa nje kidogo ya Mji wa Morogoro. Mrembo huo ataungana na...
View ArticleMAMA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSI: KUFANYA BONGE LA ‘PARTY’ NYUMBANI LOUNGE leo
Na Andrew Chale.DESEMBA 24 ‘kesho’ Jumanne kutakuwa hakutoshi ndani ya mgahawa na ukumbi wa kisasa wa Nyumbani Lounge kwenye bonge la ‘Party’ ya kuzaliwa kwa Mama Mitindo nchini Tanzania, Asia Idarous...
View ArticleMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WATOTO...
Mohamed Achume anayelelewa katika kituo cha kule yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam akikabidhiwa msaada wa gunia la mchele na Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri...
View Article19 WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM
Baada ya kushuhudia washindi kutoka mikoa mbalimbali nchini wakikabidhiwa zawadi zao zilizojumuisha Pikipiki maarufu kama Boda boda pamoja na fedha taslim kutoka katika Promosheni ya Timka na Boda...
View ArticleTRANSEVENTS LTD KUZINDUA MABASI YENYE UWEZO WA KUTEMBEA NCHI KAVU NA MAJINI...
Kampuni ya Transevents Marketing Ltd kutoka Nchini Tanzania kwa kushirikiana na kampuni la Dutch Amfibious Transport(DAT) linalotengeneza mabasi ambayo kutoka Uholanzi yanauwezo wa kutembea nchi kavu...
View ArticleANGEL KIZIGHA ASHURU WAPIGAKURA
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Angela Kizigha, akizungumza na viongozi wa Jumuia hiyo katika Kata za wilaya ya Temeke, leo...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal, amjulia hali mzee Ali Machano Muasisi wa ASP
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122) mmoja kati ya Waasisi wa ASP wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini...
View ArticleRASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge maalum la Katiba. Rais Kiwete amepokea Rasimu hiyo kutyoka...
View ArticleLowassa akutana na wanafunzi wa Chuo kikuu cha mount Meru Arusha
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisikiliza malalamiko ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo kikuu cha Mount Meru ambao alimfuata Mh Lowassa nyumbani kwake Monduli kumpa kilio...
View ArticleERNEST MANGU IGP MPYA ACHUKUA MIKOBA YA SAID MWEMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu (Pichani juu) kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi...
View ArticleCCM YAIPONGEZA TUME YA KATIBA
Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini kwa kazi iliyofanya kuufikisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya hapa ulipofika. Akizungumza katika mahojiano maalumu na baadhi...
View ArticleLOWASA NA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na maaskofu wa kanisa Katoliki, wakati a Ibada ya jubilee ya miaka 50 ya kanisa hilo mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
View ArticleSHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA MRUMA
Familia ya Mruma ya Dar es Salaam na Ugweno, Mwanga inatoa shukurani nyingi kwa ndugu,jamaa,marafiki, majirani na Watanzania wote waliojitokeza kuwa nao kwa njia tofauti katika kipindi cha msiba wa...
View Article