TASWIRA ZA HAFLA YA KUKABIDHI RASIMU YA PILI YA KATIBA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Joseph S. Warioba mara baaada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Hall kupokea Rasimu ya Pili ya Katiba....
View ArticleMAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2014
Majina ya wanafunzi wa darasa la saba 2013 ambao wamefaulu na kuchaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari (kidato cha kwanza) mwaka 2014 yanapatikana katika mbao za matangazo katika shule za Msingi...
View ArticleLOWASSA AKUTANA NA WAPIGA KURA WAKE MONDULI
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, akifurahia jambo na wapiga kura wake kutoka kata ya Moita alipomtembelea nyumbani kwake Ngarashi Monduli, kumpa mkono heri ya mwaka mpya.
View ArticleREDDS MISS TANZANIA 2013 KULA MWAKA MPYA 2014 NA YATIMA WA NIRA MBAGALA
Kama tulivyotoa taarifa kwa vyombo vya habari hapo awali wakati wa Sikukuu ya Noel[Christmass ] Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa, baada ya kujumuika na watoto waishio katika mazingira...
View ArticleRAIS KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA PAMOJA NA NAIBU WAKE LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo...
View ArticleMKAZI WA KIPERA MOROGORO AKWEA MNARA UBUNGO NA KUGOMA KUSHUKA HADI AMUONE RAIS
Askari wa Kikosi cha Zima moto na Uokoaji Wakiwa wamepanda juu ya Mnara wa Simu Uliopo Ubungo Jijini Dar Es Salaam Muda mfupi uliopita kwaajili ya kumuokoa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina moja la...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA DK.WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA, KIKWETE ATUMA RAMBIRAMBI
Waziri wa Fedha, Dk. WilliamAugustaoMgimwa (63) amefariki dunia.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri...
View ArticleLOWASSA AUPOKEA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE NGARASHI
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina Lowassa.Lowassa akiwasalimia...
View ArticleMAMBO YA MWAKA MPYA UFUKWENI HII LEO
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakijumuia na wenzao kufurahia mwaka mpya katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la Coco leo. Picha za kumbukumbu nazo zilipigwa na mpigapicha nae akapigwa picha na...
View ArticleDAR ES SALAAM WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2014
Waumini wa Kikristo wakiwa katika ibada ya mkesha wa Mwaka Mpya 2014 katika Kanisa la KKKT Azania Front jana. Vijana wa KKKT Usharika wa Azania Front wakifanya yao mbele za Mungu katika sifa na...
View ArticleTASWA FC YAWABANA MBAVU TWANGA FC LEO
Beki wa timu ya Taswa Fc Sufianimafoto (kulia) akiwania mpira na mshambuliaji wa Twanga Fc, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Bonanza la kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014, lililofanyika...
View ArticleBONDIA SAIDI MBELWA ALIPIZA KISASI KWA AMBOKILE CHUSA
Bondia Said Mbelwa kushoto akimchachavya Amokile Chusa wakati wa mpambano wao wa kufungua mwaka Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na Chusa hivyo kulipiza...
View ArticleMTEMVU AZIDI KUWAAIA KAZI WATANZANIA UGHAIBUNI
Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akimkabidhi Mkazi wa Chamazi, Dar es Salaam, Warda Ibrahim tieketi na nyaraka zingine kwa...
View ArticleTIMU YA MADEREVA TAXI IRINGA ''YAIGAGADUA'' 2-1 TIMU YA MADEREVA DALADALA...
Mgeni rasmi katika mashindano hayo kamanda wa polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akikabidhi zawadi kwa mshindi wa pili timu ya daladala Iringakamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan...
View ArticleJAJI WARIOBA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI NCHINI (TEF) NA BARAZA LA HABARI...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya...
View ArticleDC Kangoye awafunda vijana kuleta mageuzi makubwa kiuchumi
MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Christopher Kangoye, amesema vijana wakiwezeshwa kikalimifu kushiriki shughuli za uzalishaji, umasikini Tanzania utakuwa historia.Pia, amewaasa vijana kutumia...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Pemba wakitumbuiza katika maonyesho ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi mjini Zanzibar Sehemu ya wafanyakazi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika picha...
View ArticlePHILLIP MANGULA AWATAKA VIONGOZI WA MATAWI KUSIMAMIA IPASAVYO KANUNI ZA...
Makamu mwenyekiti taifa wa chama cha mapinduzi (CCM) Phillip Mangula amewataka viongozi wa matawi kusimamia ipasavyo kanuni za uchaguzi na uongozi na maadili wa chama hicho kwa kupiga vita rushwa hasa...
View Article