ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA KWA...
Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea...
View ArticleMWILI WA WAZIRI MGIMWA WAWASILI NCHINI LEO
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchi hii leo kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu...
View ArticleLOWASSA NA MKEWE WASHIRIKI IBADA KKKT LONGIDO
 Msaidizi wa askofu wa KKKT dayosisi ya Arusha  Gabriel Kimirei akisalimiana na mke wa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,mama Regina Lowassa wakati wa Ibada ya ubarikio wa...
View ArticleKUTOKA MAGAZETINI HII LEO.
Pata nakala yako ya magazeti haya na ujipatie habari za kina na za uhakika. Pia yamesheheni matangazo mbalimbali ya Ajira, Tenda za kazi na mambo mengi muhimu kwako.
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DKT WILLIAM MGIMWA
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014 Rais...
View ArticleWANADMV WACHANGISHA DOLA 22,938 HARAMBEE YA MPENDWA WAO ZAINAB BUZOHERA
Mume wa marehemu Dullah na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera wakiwa kwenye harambee ya kuchangisha fedha za kusaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wetu marehemu Zainab Buzohera aliyefariki Jumamosi Jan...
View ArticleKESI YA ZITTO KABWE VS CHADEMA HII LEO
 Wakili wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe katika kesi yake ya Kupinga kujadiliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema, Albert Msendo (katikati) akisindikizwa na wanachama wa Chadema walio wa tiifu...
View ArticleBARABARA ZA 10% ZINAVYOKUWA
Tuta la lami likiwa limeibuka katikati ya barabara ya St Mary’s, Tabata wakati barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 1.6 ikiwa imejengwa miezi michache iliyopita na kampuni ya Del Monte (T), kwa Sh...
View ArticleMAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda na Naibu wake Mhe Job Ndugai wakiweka shada lao la...
View ArticleZITTO AIBWAGA MAHAKAMANI CHADEMA
 Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe (katikati) akiingia Mahakama Kuu jana...
View ArticleJOSEPH YONA, MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE ASIMULIA ALIVYOTEKWA NI
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Joseph Yona akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hii leo baada ya kudaiwa kupigwa na watu wasio julikana na kuumizwa vibaya kichwani leo usiku na kutupwa maeneo ya...
View ArticleMAKALA YA HABA NA HABA TV KUTOKA BBC SASA KUANZA KURUSHWA HEWANI
BBC "Tunayo furaha kukutaarifu kuwa Sasa Makala ya Haba na Haba TV itaanza kuonekana kupitia Star Tv nchini Tanzania ratiba ni kama ifuatavyo:- Kila Jumamosi kuanzia tarehe 11 Saa 1:00 kamili Usiku na...
View ArticleWADAU WA AFYA SINGIDA WARIDHIA MPANGO WA TIBA KWA KADI
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye uzinduzi wa mpango wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika halmshauri ya manispaa ya Singida uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque...
View ArticleABIRIA WA TREIN INAYOTOKA KIGOMA KWENDA DAR ES SALAAM WAKWAMA MKOANI DODOMA,...
Abiria wa treni iliyokwama Dodoma wakiwa na watoto wao wakipata chochote wakati wakisubili hatima yao huku katika stesheni hiyo kukiwa hakutamaniki kwa uchafu unaotishia afya zao kutokana na abiria...
View ArticleBUS LA MTEI LILIVYOCHOMWA MOTO SINGIDA
Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda...
View ArticleMSHIKAKI WA WAZUNGU KATIKA BODABODA
Sheria za Usalama barabarani zimekuwa zikivunjwa kila siku hasa na madereva na abiria wa pikipiki au maarufu Bodaboda jijini Dar es Salaam na hata mikoani. pichani ni raia wa kigeni wakiwa wamepakiwa...
View ArticlePARTY YA MWAKA MPYA VOA.
Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akijichukulia maakuli wakati wa sherehe za mwaka mpya siku ya Jumatano huko VOA Washington Dc.Heather akijipakulia msosi. Intern wa VOA na mmiliki wa...
View Article