MWANDISHI FORTUNATA RINGO AFARIKI
Fortunata akiwa katika mafunzo ya MCT ya maadili ManyaraBlogu hii saa moja iliyopita imepokea habari za kusikitishwa kwamba mwandishi wa habari wa Habarileo Manyara Fortuinata Ringo amefariki dunia.kwa...
View ArticleMKUTANO WA NEC NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA
Katibu Mkuu wa Chanma cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dr. Wibroad Slaa na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa...
View ArticleMFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA(PSPF) WAOMBOLEZA MSIBA WA ALIYEKUWA...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMFUKO WA PENSHENI WA PSPFBodi ya Wadhamini na Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatoa salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleABIRIA WA TRENI WAENDELEA KUTESEKA DODOMA, UONGOZI WA TRL MKOANI DODOMA...
Abiria waliokwama na treni Dodoma wakusubili mabasi kwa ajili ya usafiri wa kuelekea mikoa ya Morogolo na Dar es saalam ambapo shirika la Reli limewakodia mabasi kutokana na kushindwa kuendelea na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI YA KIEMBE SAMAKI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua shule ya Sekondari ya Kiembe Samaki, wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo mjini Zanzibar...
View ArticleKESI YA BOSI WA ZAMANI WA TBS CHARLES EKEREGE ILIVYOENDELEALEO MAHAKAMANI KISUTU
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege na binti yake wakiondoka katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kusikiliza mwenendo wa kesi...
View ArticleZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA HABARI, VIJANA NA MICHEZO MKOA WA PWANI
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Bi.Mwanamvua Mrindoko akimweleza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel(mwenyeshati Jeusi) Mpango...
View ArticleMVUA DODOMA YAWA KERO KWA WAFANYABIASHARA STENDI YA JAMATINI
Muuza Chipsi akiendelea kuandalia wateja wake huku maji machafu yakiwa yametuama kibandani hapo hali inayotishia Afya za wateja wao, huku kilio cha wafanyabiashara hao kikielekezwa ofisi ya mhandisi...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANDISHI WA HABARI LEO, FORTUNATA RINGO MKOANI...
Jenela la aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Habari Leo, Mkoani Manyara, Fortunata Ringo Tayari kwa safari yake ya mwili, katika Maziko yaliyofanyika Leo, Kijijini kwao, katika Kijiji cha...
View ArticleMwenyekiti wa CCM Washington amtembelea Lowassa
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya bunge ya mambo ya nje akifurahia jambo kutoka kwa mwenyekiti wa ccm tawi la Washington DC George Sebo aliyekwenda...
View ArticleYatima Dar walilia madarasa yakujisomea
Mkuu wa idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Julius Kastabu (Kushoto) akikabidhi msaada wa chakula kwa Mkurugenzi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Sifa Group Children Foundation Center...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY ZAINAB MHAMILA
LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MTOTO ZAINABU MHAMILA 'IKOTA' AMBAPO ANATIMIZA MIAKA 11 TANGIA AZALIWE PICHANI AKIWA NA BABA YAKE MZAZI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AMBAYE NI KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO...
View ArticleWANAFUNZI IST WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA GUARDIAN ANGEL
Kituo cha watoto Guardian Angels wiki hii kilipata ugeni umkubwa kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) ya jijini Dar es Salaam ambao waliwatembelea na kutoa salamu za Mwaka...
View ArticleWANANCHI UKONGA WAGOMEA FIDIA KIDUCHU BOMBA LA GESI
Mwenyekiti wa Kamati ya kufatilia malalamiko ya wananchi wa mji mpya relini Bw. Omari Msusa kushoto akihojiwa na vyombo vya habari kuhusu fidia wanayotakiwa kulipwa huku Mbunge wa Jimbo la Ukonga Dar...
View ArticleRAIS KIKWETE MGENI RASMI KONGAMANO LA WASANII IJUMAA
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Twalib 'Teacher' (kushoto) MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa kongamano la umoja na mshikamano linalofanyika Januari 17 (Ijumaa) kwenye viwanja vya hoteli ya...
View ArticleLOWASSA APOKEA KITABU CHA SAFARI YA MIAKA 50 YA ZANZIBAR
Javed Jafferji , Tanzania top photographer and film maker had a pleasure to present a copy of his new book, Zanzibar Photographic Journey - 50 years of the Revolution to former Prime Minister of United...
View ArticleLOWASSA AKUTANA NA VIONGOZI WA BODABODA
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa(katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam ofisini kwake.Lowassa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAWAZIRI WALIOLAZWA MUHIMBILI, CLEOPA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati...
View ArticlePOLISI ANAPOVUNJA SHERIA YA USALAMA BARABARANI
Polisi ndiuo wasimamizi wakuu wa sheria za nchi, na ni wao ambao pindi mwananchi anapokosea jambo na kuonekana amevunja sheria husimamia zoezi la kukamatwa na kufikishwa mbele ya Mahakama ili sheria...
View ArticleMKAPA AMKABIDDHI RAIS KIKWETE VITABU VYA HOTUBA ZAKE
Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka...
View Article