LOWASSA AKANA KUMILIKI KURASA ZA FACEBOOK,TWITTER, INSTAGRAM
Kumekuwa na kurasa(accounts) mbalimbali zenye jina la Mh Edward Lowassa katika mitandao ya kijamii Kama vile facebook,Twitter, Instagram nk.Zinaonekana mmiliki wake ni Mh Edward Lowassa.Ukweli ni...
View ArticleMAJINA 201 YA WABUNGE LA KATIBA HAYA HAPA
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Florence Turuka akitangaza majina yaha 201 ambapo wanaume ni 101 na wanawake ni 100.TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)TANZANIA BARA (13)1. Magdalena...
View ArticleNaibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Kairuki Azindua Kampeni Care For Me!
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo...
View ArticleVACANCY AT SUNRISE BEACH RESORT
SUNRISE BEACH RESORT HAS A VACANCY FOR FOOD, BEVERAGE, MAINTANANCE, LAUNDY AND MARKETINGQUALIFICATION:- SHOULD HAVE WIDE KNOWLEDGE IN ALL FOOD,BEVERAGE,MAINTANACE AND LAUNDRY DEPARTMENT-...
View ArticleNAPE:KUWAZUIA WATU KUPIGA KURA NI KUHUJUMU DEMOKRASIA
Katibu wa NEC tikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nyasura wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani ambapo aliwaeleza wananchi haikuwa rahisi kuwaleta watanzania pamoja,hivyo basi...
View ArticleIGP mstaafu ashinda promosheni ya Airtel Tanzania Mimi ni Bingwa
Afisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Jane Matinde, (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu PhilemonNathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi...
View ArticleRays of Light Exhibition imprints its foot on the Land of the Kilimanjaro
Rt. Hon. Mizengo Peter Pinda, the Prime Minister of the United Republic of Tanzania (left) and Mr. Jehangir Bhaloo, President of the Aga Khan Council for Tanzania, officially cutting the ribbon at the...
View ArticleKONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA...
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la...
View ArticleMAFURIKO BARABARANI KIJIJI CHA MGAGAO MKOANI KILIMANJARO
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya milima ya Pare Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro zimeporomosja maj na kusabisha mafuriko katika eneo la Kijiji cha Mgagao na kuwa kero kubwa kwa...
View ArticleFULLSHANGWE BLOG YAKUMBWA NA 'KWIKWI' YA DIJITALI
WADAU WA FULLSHANGWEBLOG TUMEPATA TATIZO LA KWIKWI JANA HIVYO TUNALIFANYIA KAZI KADIRI INAVYOWEZEKANA ILI TUWEZE KURUDI HEWANI TUNAOMBA RADHI KWA WADAU WETU NBC, NHIF, TTB, NMB, THE FADHAGETI...
View ArticleWAZIRI WA HABARI AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA...
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali...
View ArticleLOWASSA ASHIRIKI MSIBA WA PATRICK QORRO LEO
Mh Lowassa an mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho ka mwili wa marehemu comrade Mbunge wa zamani wa Karatu comrade Patrick QorroWaziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward...
View ArticleCCM YAMTEUA MTOTO WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA KUTETEA KITI CHA BABAYAKE; NI...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika...
View ArticleTAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA, 2014
Tamasha la mwanamke na akiba, ni tamasha la kwanza na la kipekee kabisa kuwahi kufanyika hapa nchini Tanzania. Tamasha hili lina nia n a dhamira ya kutengenzeza ujuzi na kumuelimisha mwanamke kuhusu...
View ArticleARUSHA NAO WAPOKEA KIJITI MGOMO WA MASHINE ZA EFD's
maduka yakiwa yamefungwa na hakuna biashara inayoendeleaHapa ni njia panda ya kuingia stendi maduka pia yamefungwaWafanyabiashara wa jiji la Arusha leo nao wamefunga maduka yao ikiwa ni muendelezo wa...
View ArticleKITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA...
Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji TIC,Bi Juliet R. Kairuki (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wakuu wa mikoa ya kanda ya ziwa,toka kushoto ni Mhe. Chief Kishosha Pascal Mabiti (Mkuu wa Mkoa...
View ArticleTIB NA DBSA ZAINGIA MKATABA KUKOMBOA SEKTA YA UCHUKUZI NCHINI
Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Jaffar Machano akifungua mkutano huo wa hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano.******** Nwa mwandishi...
View ArticleMIJADALA YAENDELEA KONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI...
Mkuu wa Huduma za Utangazaji na Mawasiliano ya redio kutoka Shirika la Utangazaji la Kimataifa (ITU), Pham Nhu Hai akiwasilisha mada katika kongamano hilo. Mjadala ulifautiliwa kwa umakini na...
View Article